Tatizo sio kulea, ni kuishi nae APA kwangu cridhike kabisa uwepo wakeLeo mimba kama ni yako.
Nothing impossible that's why nimepost, makubaliano yalikuwa kuzaa mtoto then afanye yake but kabadilika na anahitaj kuolewa mazimaHii ndio shida ya baadhi ya wanaume mnapoliona jambo jepesi sana pale mnapowapa wenza wenu na kuwaambia wazitoe.
Kafanya vizuri huyo dada kutoitoa hiyo mimba. Sioni haja ya kutaka asepe wakati ana kiumbe tumboni. Tulizana naye kwa kweli hakuna jinsi
Kwanza nasikitika sana na jambo uliloliweka humu, ni bora tu mkuu ungetulia maana taifa letu linapitia wakati mgum sana kwenye kulea watoto waliokulia mazingira magumu!
Tatizo sio kulea, ni kuishi nae APA kwangu cridhike kabisa uwepo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihukumu japo nae nlimhuku, kwann anahitaj kuolewa wakati alikubali kuzaa na kila MTU afanye yake?Una nyota ya uuaji na roho ya umasikini...
I assure you Hugo mwanamke anakupenda sana ..yaaan daaahhh wengine upendo km huo ndo tunautafuta .
Mkimaliza hapo mnakuja na Uzi Sioi single mother wakati zipu muda wote zipo wazi, demu wa mtandaoni ukae nae mwezi mzima halafu umwambie atoe Mimba ahahahaa ndio kisha kuja unae huyoHabari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja atmae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba). Alirudi kwao tanga, nilimshauri aitoe na akakubali lakin aliomba nimtumie pesa ya kufanya hilo jambo, ikatumwa. Wanasema ukishangaa ya mtandaon utayaona ya huyu demu, juzi karudi kwangu bila taarifa baada ya kupotezana kwa miez 4 uku nilikuwa nisham-delete akilini. Nimempokea na cjamfunua k yake tangu aje, na mimba ajaitoa. Je, wadau huyu demu nimfanyaje asepe mazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanakuja kuwaponda tena...Eti sijamfunua hata K yake ulivyoifunua na kuingiza mtoto hukumbuki? Nyinyi ndiyo mnaongeza idadi ya single mothers
Sio tatzo kulea, alikubali kupewa mimba na kuzaa child tu kutoka kwangu sio kuendelea kuishi nami.
Well saidMpokee uishi naye kwa mwezi mmoja mwingine huku unafikiria nini cha kufanya. Huenda akawa mkeo na mama bora kwa wanao.
Kikubwa alikubali kuibeba na kujifungua pasipo kunitegemea, ata angekuwa anahitaj Huduma ningemtumia na sio kujileta tena bila informationHuyo msichana nae king'ang'anizi........mfukuze kwako khaaa