Recent content by Financial Freedom

  1. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    Weka "All quiet on western" humo ndani USA kapambana sana hapo Japan milimani
  2. Financial Freedom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    Sio poa
  3. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    Yote kwa yote hii mifuko ni mizuri for long term investment maana hata Jubilee life insurance wana mfuko wa Fanaka unafanya kazi kama UTT lengo ni kudunduliza saving upate lump sum baada ya miaka kadhaa (miaka 5-20) ufanye uwekezaji mwingine
  4. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    Kuna kitu kinaitwa overnight lending,financial sectors zote ukideposit tu hela yako inaenda kwenye mzunguko yaani wananunulia bonds e.t.c so ukitaka hela yako hawana kwa muda huo so wanakopa pia ili kukupa hela yako wakati ndo maana kuna delay ya kukupa hela yako....karibu
  5. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Hahahah hii nilipitia pia japo nilitoka na div I but nikilala huwa naota nipo advance huwa nalia maana physics ilininyanyasa sana nikiamka nacheki cheti changu nacheka sana na kulia kwa furaha. Ile stress imenifanya hata kazini siwezi ku panic kwa lolote,i can handle anything in this life yaani...
  6. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Toleo lijalo la noti napendekeza ziwe za Nylon

    Same as new Pounds (GBP)
  7. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Mtoa mada yupo sahihi kabisa,kila kitu anachosema ni kweli
  8. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Wewe bado ni mdogo sana kwenye haya maisha,asee matajiri wana save hadi mia
  9. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Nadhani dawa ni maziwa mimi kazini muda wote nina chupa ya maziwa nusu lita kila siku the whole day nakunywa kama maji vile vidonda sijavisikia muda mrefu nahisi kupona
  10. Financial Freedom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

    Achana na kluger tafadhali maana ndo tunavimba nazo mjini hahaha
  11. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Yes mimi pia nimefanya mining industry sio stable leo una kazi,kesho hauna nikakimbilia bank kidogo ni uhakika
  12. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Maisha

    Maisha yako yote yamepangwa na Mungu,I hate this conspiracy ahahah
  13. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Udsm but Nilishaachana na geoloy,kwahiyo industry nadhani imenipita ila those days we did explorations za oil,gas,water na minerals kama field geologist
  14. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Drilling ya exploration ni test holes ni visima vifupi vya majaribio ambavyo sio gharama sana kama drilling iliyopo kwenye production ambayo mnachukua cores na ni ghali sana
  15. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Acha tu ndo maana exploration majibu yake una present in terms of %probability ya ku meet ore body so board inachagua to drill or not to drill
Back
Top Bottom