Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Huo ukata wa fedha kivipi wakati mfuko unaona thamani yake inaongezeka. Mfano Liquid kwa sasa ina value ya 1 Tillion TZS. Au hii value haina uhusiano wa moja kwa moja na pesa zilizowekezwa?
Nadhani apa iko ivi, ukata wa fedha amaanisha hakuna fedha za settle transaction mfano wewe ukijaza form ya repurchase ukiwa unauza vipande ina maana unatakiwa upewe fedha yako ila unakuta hawana cash kwa muda huo ya kutosha kukamulisha huo muamala wako kwa sababu UTT hawakai na hela ya mtu na wao benki sio kama upatu kwa kijumbe wao wakipata fedha wanaenda kuwekeza kwenye masoko ya hisa na fedha mfano wananunua bond za BOT pia ambazo unakuta ni za 15years ndo zina mature sasa kama wamenunua bond kwa fedha zenu ambazo awali mliweka wanatoa wapi hela ya kukulipa ukiuza vipande vyako, ndo pale unakuta kuna wawekezaji wengine wanakuja kuwekeza kwahy wewe utapewa fedha baada ya wao kuipata kutoka kwa huyu muwekezaji mwingine. Ila wao unakuta hawajauza zile bond kule BOT ama hawajauza hisa yoyote ile ili kukamilisha muamala wako.
NB hii ni kwa uelewa wangu juu ya masoko ya hisa na fedha i stand to be corrected
 
Thanks, nimekuelewa vyema
 
Kuna kitu kinaitwa overnight lending,financial sectors zote ukideposit tu hela yako inaenda kwenye mzunguko yaani wananunulia bonds e.t.c so ukitaka hela yako hawana kwa muda huo so wanakopa pia ili kukupa hela yako wakati ndo maana kuna delay ya kukupa hela yako....karibu
 
Yote kwa yote hii mifuko ni mizuri for long term investment maana hata Jubilee life insurance wana mfuko wa Fanaka unafanya kazi kama UTT lengo ni kudunduliza saving upate lump sum baada ya miaka kadhaa (miaka 5-20) ufanye uwekezaji mwingine
 
Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.

Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Sisi wenye vimilioni moja moja mnapoanza kutaja milioni 10+ mnatukatisha tamaa mazima. Kwani kwa mfano nikianza na milioni moja paa! halafu kila mara (wiki, mwezi, siku 3, 5) nikawa najiwekea vi akiba vya buku 10, buku 5 kwa mwaka mzima, miaka miwili, mitatu, mitano nakuendela sipati faida au niendelee kuweka kwenye kibubu?
 
Unapata mkuu
 
UTT n mfuko wa hisa

✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
✅Ukiweka hela weekend Jumamosi na jumapili utasubiri mpaka j4 ndo utaiona kwene acc yako ya UTT (48/72hrs)
✅Ukihamisha hela inachukua 24hrs ya siku za kazi kuonekana kwene acc
✅Faida hawaweki kila siku…Ila wataweka tu punguza waswas

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Mpaji Mungu njoo huku tena
 
UTT n mfuko wa hisa
UTT siyo mfuko wa hisa.

UTT - AMIS: Ni aina ya Uwekezaji wa Pamoja (Collective Investment Scheme)
Ipo mifuko sita iliyo chini ya UTT - AMIS:
  • Umoja Fund
  • Watoto Fund
  • Wekeza Maisha Fund
  • Jikimu Fund
  • Ukwasi (Liquid Fund) na,
  • Hatifungani (Bond Fund)
✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
siku tatu za kazi (working days)
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
✅Ukiweka hela weekend Jumamosi na jumapili utasubiri mpaka j4 ndo utaiona kwene acc yako ya UTT (48/72hrs)
✅Ukihamisha hela inachukua 24hrs ya siku za kazi kuonekana kwene acc
✅Faida hawaweki kila siku…Ila wataweka tu punguza waswas

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
 
Hizi UTT ni kwa ajili ya vibopa wanaojilipa Hela za miradi huko ma milioni na mabilioni huko Malawi au Bangladesh na anauhakika Kila siku yanaingia mengine kwenye semina na vikao na posho.

Mbongo wa kawaida au raia anaebangaiza ka milioni kamoja kwa taaabu sana sana then ukakaweke utt usibiri lakini Moja mwisho wa mwaka utakuwa kichwani una makamasi sio akili.
 
Sisi walimu pia tupo na tunafanya vizuri si haba
 
Acha kudanganya walimu bhana.
Mshahara wa 1M anamkopo crdb, nmb, kausha damu, na Hana posho unafikiri anaishi maisha Gani?

Msiwarubuni kufanya vitu ambavyo vitazidi kudidimiza maisha Yao.
 
UTT siyo mfuko wa hisa.

UTT - AMIS: Ni aina ya Uwekezaji wa Pamoja (Collective Investment Scheme)
Ipo mifuko sita iliyo chini ya UTT - AMIS:
  • Umoja Fund
  • Watoto Fund
  • Wekeza Maisha Fund
  • Jikimu Fund
  • Ukwasi (Liquid Fund) na,
  • Hatifungani (Bond Fund)

siku tatu za kazi (working days)
Nice
 
Mbona mnazungumzia interest pekee bila kuongea chochote kuhusu kupanda au kushtuka kwa thamani ya vipande ulivyowekeza?
 
UTT sio hisa mkuu. kuongezeka kwa bei ya vipande ndio iterest unayoiona na sio kwamba utanufaika na kupandq kwa vipande + interest
 
Fanya tafiti zako vizuri. Wakati UTT inaanzishwa thamani ya kipande ilikuwa 100 sasa hivi ni kama 1400 kama sikosei. Ndio maana wataalamu wa kubeti kwenye uchumi sasa hivi wana beti kwa kununua vipande vya watumishi housing ambavyo nadhani ni FAIDA FUND ambavyo kwa sasa vinauzwa 140 wakiamini ipo siku itafika kwenye 1,000 +
 
Back
Top Bottom