Toleo lijalo la noti napendekeza ziwe za Nylon

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
1,095
1,464
Habari za jioni.

Napendekeza toleo lijalo la noti zetu za Tanzania ziwe za nylons kama krona za Sweden.

Pesa ya nylons (nailon) kama sijakosea haziharibiki kirahisi hata ukiikunja zina mvuto asee leo nimeshika noti ya krona mpaka nimefurahia.

Nini maoni yako?
 
Kama hii.
images%20(2).jpg
 
Weka na mfano wa izo pesa za nylon wapi huko😊

Enzi izo Mambo ya economics kulikua na maswali Kama haya kwenye topic ya money💰

"Money as money does" discuss
"Money is what's makes money" discus

Umenikumbusha quality of good money..

*Durability
*Potability
*Stability
*Acceptability
*Scarce

Mkuu izo Ni kwa uchache 😊
 
Inasemekana gharama ya kutengeneza noti moja ya dola 100 USD ni chini ya dola 1 USD.

Mzungu mshenzi sana anatoa printed paper anapewa mafuta na dhahabu.

Inashangaza sana, watengeneza pesa nao wanalipwa pesa.

Serikali ya US ina print pesa zake yenyewe.
 
Hata kwacha ya zambia ni nylon coated note.
Japo mi naona hayana mvuto kiviile ukiyapanga kwenye wallet yanatutumka kama umebeba bomu!!
 
Ni nzuri, ila zikichakaa zinafutika linabaki nylon tu Translucent. Tafuta pesa ya Zambia iliyochoka
 
Back
Top Bottom