Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Kwani walikuwa na nafasi zipi?
Make FTC ni elimu pia inayojitosheleza kwa nafasi fulani.
Pia najiuliza hivi hawa watoto wa vigogo waende wapi? mbona wanapigwa vita kila sehemu hata wale waliosoma vizuri akishakuwa mtoto wa kigogo basi kachomekwa. Je wao si haki yao kupata kazi nzuri hapa TZ...
Nataka kufungua pharmacy, namwitaji Pharmacist aliyesajiriwa na anayeelewa utaratibu wa kuanzisha pharmacy ili anisaidie kuanzisha biashara hii mtaani kwetu hapa Dar,
Mtaji wangu ni mdogo so natafuta yule ambaye hatanitoza pesa kubwa. Kikubwa awe mwaminifu na siko tayari kutoa rushwa huko...
Wana Jf
Natafuta wapi naweza nunua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi.
Mwenye taarifa tafadhali anijuze ikiwezekana size na bei au ani PM.
Am serious friends.
Thanks
Mkuu nakupongeza kwa kuchambua kitaalam, huu ndo ukweli, sema siku hizi kupinga kila kitu imekuwa ndo style yetu.
Ni mazoea tu, watu akibadilisha walichokizoea hata kama ni kwa faida yao watakuwa wagumu tu.
Hawa kina Mnyika wanakurupuka tu, si unakumbuka hata ile ya nauli ya feri wao ni...
Wakuu,
Natafuta wapi naweza nunua miziga ya kufugia nyuki, pia naitaji na mafunzo kidogo jinsi ya kuwafuga, kwa sasa niko dar,
kama unayo tuwasiliane tafadhali
Thanks
Acheni mambo ya kikoloni, katiba mpya kila mtu anatakiwa ajisemee, nyie mnaenda kila mkutano kuziba nafasi za wengine, udhulieni mkutano mmoja toa maona yako basi, mnataka kumsemea nani?
Hii ni kinyume na haki za wananchi na ni udhalilishaji mkubwa.
Mmelewa support ya jf mnaanza kudhani nyie...
Dogo anatumia porojo za JF kujengea hoja bungeni.
Hii ndo utajua hawa watu ni ujanja ujanja tu hawana umakini wowote.
Mi sikubaliani kabisa na umri wa urais kupunguzwa maana vijana bado wana mihemko wanaitaji kutulia na kujifunza namna ya kuendesha siasa.
Kila mtu anastahili malipo mazuri lakini pia kila mtu anao wajibu wa kulipa kodi. Unapotaka mshahara upande na kodi ishuke sasa unataka huo mshahara upande utoke wapi.
Haki na wajibu huenda pamoja
TZ naona kila mtu amekuwa msanii na mwanasiasa, hili tamko la madaktari wanajifanya wanagoma kutetea wagonjwa wakati kikubwa wanadai pesa.
Madaktari hawa hawa ndo wamesababisha vifo au ulemavu wa kudumu kwa mamia ya waTZ kwa uzembe wao au kutojali kwao harafu leo wanaleta picha kuonyesha wako na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.