Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 442
Nahitaji kuanza kufanya hiyo biashara ila kuna mtu kanipa story za juu juu kwamba voda wamesitisha kusajili mawakala wapya,mwenye taarifa zaidi naomba anijuze tafadhali
mbona mimi nimepata best,niliomba mwezi uliopita jana nimepewa
sijatoa hata kitu kidogo best yangu
sijatoa hata kitu kidogo best yangu
cku hz kujuana kwingi,kama hujulikani ama hutoi pesa hupati ng'o!
Jamani hatimaye nimepata,ila shughuli yake c ndogo
naomba taratibu zake ulizotumia ilikupata m pesa na tigo pesa. nahitaji huu uwakala na mimi
Ninavyojua mimi Vodacom imesitisha kuwasajili mawakala WAKUBWA.
Kumbuka kuna mawakala wakubwa na mawakala wadogo ambao ndio wengi.
waweza kujisajili kama wakala mdogo na mambo yakaenda vizuri tuu.
Afterall tusubiri wadau wengine kama wana la kusema tofauti na mimi.