Mashine ya kusaga na kukoba inatakiwa

Mashine ya kusaga na kukoba inatakiwa

FIDIVIN

Senior Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
187
Reaction score
41
Wana Jf

Natafuta wapi naweza nunua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi.
Mwenye taarifa tafadhali anijuze ikiwezekana size na bei au ani PM.

Am serious friends.
Thanks
 
Vifaa vinavyohitajika motor 2 moja kwa ajili ya kinuu cha kusaga na jingingine kwa ajili ya kukuboleya, vinu vinatengenezwa sido na motor nzuri zinasukwa na watalaam wa bongo gharama zote ni kama millioni 5 hadi 7
 
mkuu wazee wa kilimo kwanza walikuwa wanaziuza mkuu
 
Back
Top Bottom