Biashara ya pharmacy

FIDIVIN

Senior Member
Aug 4, 2010
187
41
Nataka kufungua pharmacy, namwitaji Pharmacist aliyesajiriwa na anayeelewa utaratibu wa kuanzisha pharmacy ili anisaidie kuanzisha biashara hii mtaani kwetu hapa Dar,

Mtaji wangu ni mdogo so natafuta yule ambaye hatanitoza pesa kubwa. Kikubwa awe mwaminifu na siko tayari kutoa rushwa huko serikalini ila nataka kufuata taratibu zote.

Kama uko tayari ni PM au nipigie 0712729015

Asanteni
 
Mkuu mie nakupongeza kwa kufikiria kuanzisha biashara ukifuata taratibu ZOTE zinazohitajika. Kwa wataalam wa hiyo fani hpe watajitokeza, malipo yako vp lkn kwa huyo mtaalam,utatumia pia cheti chake kusajili/kupatia leseni ama ye wamtaka ushauri elekezi tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom