Recent content by Feni05

  1. Feni05

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mabalozi wa Marekani na Italia

    "Tanzania ni nchi tajiri, hatuwezi kua omba omba "
  2. Feni05

    JamiiForums Tanzania CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Mwandosya,Tibaijuka Dr wakumwaga lakini amna lolote.
  3. Feni05

    JamiiForums Tanzania CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Elimu za darasani hizo kwenye practical life ni hewa.
  4. Feni05

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Huu uzi wanauona kama barua ya kusimamishwa kazi.
  5. Feni05

    JamiiForums Tanzania Ukisoma HGE ni lazma ufanye Hisabati

    ahahahahaha kama ujui kitu bora ukae kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako mbele za watu.Wanaosoma ECA na HGE wanasoma BAM.
  6. Feni05

    JamiiForums Tanzania Diamond amkabidhi Makonda madawati 600 kwa ajili ya shule za jijini Dar es Salaam

    Hiyo iMac ina thamani gani?
  7. Feni05

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi yaahidi kichapo kikali leo maandamano ya CORD

    Wanataka haki itendeke.
  8. Feni05

    JamiiForums Tanzania Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

    Kwenye sukari wameshindwa naomba wasianze kutupangia na nguo za kuvaa.
  9. Feni05

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    kabisa
  10. Feni05

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Magufuli amerasimisha kazi za Halmashauri kwenda Serikali Kuu?

    Nakuonea huruma ujui ulisemalo.
  11. Feni05

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Magufuli amerasimisha kazi za Halmashauri kwenda Serikali Kuu?

    Mpaka sasa kafanya maamuzi yapi magumu ya kuletea taifa faida? Sukari? Lugumi? UDOM? naomba maelezo ya kina kutetea hoja yako.
  12. Feni05

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Bado ni bila bila
  13. Feni05

    JamiiForums Tanzania Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

    matumbo joto baada ya kusikia Lema atakuepo ITV [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  14. Feni05

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Ahahaha UVCCM wanajitahidi kuufukia huu uzi lakini wameshindwa.
  15. Feni05

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

    warudishwe lakini ni lazima Jesica aondolewe UDOM
Back
Top Bottom