Waziri mwenye mawazo kama haya ni mzigo.Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Kama leo masikini tumekosa sukari kwa maamzi yao yasiyohusisha utafiti basi tujiandae kutembea uchi kama si kuvaa majani.Hivi ngui zikuadimika itakuwaje si tutaheshimiana?
KUNA watu wataajiriwa rasmi kwa kazi hiyo
ESafi sana nini?? Hivi ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu??