Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,986
- 5,803
Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Mkuu. GT hayuko hivyo, umepoteza credibility ya kuwa GT na kuwa mtumwa wa itikadi za siasa, GT ni analytical, anasikiliza, anachsmbua na kuchuja mambo, ukiona unakwepa hata kumsikiliza hata usiyempenda maana yake unakimbia hoja.
Sikiliza halafu pinga kwa hoja
Vv