Recent content by feisar wa moro

 1. feisar wa moro

  Naomba kufahamu bei ya mpunga Ifakara

  Huwa inafika hadi 120,000/130000 ila mwaka mwengine inawe za ikaishia laki moja,, mpunga haueleweki soko lake linategemea upungufu wa mchele masoko makubwa
 2. feisar wa moro

  Niulize swali lolote kuhusu Wilaya ya Kilombero

  Hapana mkuu miwa inavunwa hata kama itapitiliza msimu bila kuvunwa msimu ujao utavujiwa bila shida tena hata tani zitaongezeka sababu miwa itachipua mingine mule mule... pia kama shamba lako litaungua kwa ajari pia utavuniwa (ila lazima utatoa rushwa) na utalipa shling laiki moja kama faini ya...
 3. feisar wa moro

  Kwa mkoa wa Morogoro Wilaya gani nzuri kwa kilimo na ufugaji?

  Aahh hiyo changamoto niliwahi isikia ila sikujua kama wafugaji wanaingiza hadi kwenye mashamba ya kampuni nilidhani ni kule wanakolima mpunga wakulima wadogo (Magombela) maana nako huwa wanaingizaga mifugo kiangazi
 4. feisar wa moro

  Naomba kufahamu bei ya mpunga Ifakara

  Gunia la debe 10 shling 80,000/90,000
 5. feisar wa moro

  Kwa mkoa wa Morogoro Wilaya gani nzuri kwa kilimo na ufugaji?

  Wilaya ya kilombero(kidatu hadi mlimba) walimu wengi wenye malengo na kujituma kwenye kilimo wana maisha bora NENDA HUKO MKUU
 6. feisar wa moro

  Kwa mkoa wa Morogoro Wilaya gani nzuri kwa kilimo na ufugaji?

  Kilombero sugar wanakoma kivip na wafugaji Mkuu?
 7. feisar wa moro

  Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

  Mchikichini nishapita sana kuuza mayai wale wanafunzi wao kukopa tu
 8. feisar wa moro

  Shikamoo wewe kipofu uliyeniibia pikipiki na ukaiendesha

  Kutoka kijiwen kwang had manzese darajani kwa buku sikupeleki,,pili hakuna bei rasmi kwa bodabod kwahiyo ukiingilikia kwa bei kubwa unapigwa, sehem ya kwenda kwa 2000 ukitaj hyo hyo abiria atakwambia ana 1000
 9. feisar wa moro

  Shikamoo wewe kipofu uliyeniibia pikipiki na ukaiendesha

  Aisee dah mkuu nipo ifakara sahizi lakini nilishaamua kumuachia Mungu
 10. feisar wa moro

  Shikamoo wewe kipofu uliyeniibia pikipiki na ukaiendesha

  Huwezi ukaanza bei ya chini kwenye biashara za kuelewana bei,nilimwmbia 3000 lakini hata angesema ana buku jero ningeenda (Ulemavu sio sababu ya kulipa nauli ndogo kwangu)
Top Bottom