Mikoa mitano yenye watu wengi zaidi

Mikoa mitano yenye watu wengi zaidi

Ila unachotakiwa kujua, Siyo miji yenye watu wengi, bali mikoa yenye watu wengi.
Mkoa maana yake, wanaishi eneo lote la utawala wa mkoa.
Watanzania wengi hawaelewi kuhusu serikali za mitaa hususani Mikoa, miji, manispaa, majiji, miji midogo, tarafa, kata, mitaa nk. Wanabutua tu
 
Ni kipi kinasababisha Morogoro isiwe jiji??

Mbona Tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za Tanga mijini?

Na Mbeya nayooo!!🤔🤔
Sababu ni moja tu morogoro ndo eneo kimkakati la ulinzi wa Taifa letu
92
Mzinga
Na mavikosi kibao ya kawaida na vificho
Anga lake ni prohibited (kimataifa) hakutakaa kujengwe airport ya maana
 
ila KIGOMA watu wanazaliana sana, huenda hadi mwaka 2025 Mkoa wa KIGOMA utakuwa sana na mwanza.
watu wa kigoma wanabidiii sana ya kuzaliana.
 
Naona Kusini na Kaskazini mmeamua kugomea sensa au ndo uzazi wa mpango.
ILa Tabora hao watu wako wapi usikute walihesabu na yale mapoli pale uyui na sikonge.
INgekuwa hamu yangu ili zoezi ingekuwa once more aka liludiwe dsm with all of these peole kuwe na watu milioni tano
 
Ifuatayo ni mikoa mitano ( top five) yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania

1. Dar es Salaam 5,383728
2. Mwanza. 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4. Morogoro. 3,197,104
5. Dodoma. 3,088,625

Aidha, hii ndio mikoa kumi yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar e Salaam 5,383,728
2. Mwanza 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4.Morogoro 3,197,104
5. Dodoma 3,088,625
6. Kagera 2,989,299
7. Geita 2,977,608
8. Tanga 2,615,597
9. Kigoma 2,470,967
10.Mara. 2,356,255
Chuga haijahesabiwa
 
Mwanza
Tabora
Geita
Kagera

Wana unable wa kuamua raia no.1 wa Tanzania Bara
 
Ifuatayo ni mikoa mitano ( top five) yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania

1. Dar es Salaam 5,383728
2. Mwanza. 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4. Morogoro. 3,197,104
5. Dodoma. 3,088,625

Aidha, hii ndio mikoa kumi yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar e Salaam 5,383,728
2. Mwanza 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4.Morogoro 3,197,104
5. Dodoma 3,088,625
6. Kagera 2,989,299
7. Geita 2,977,608
8. Tanga 2,615,597
9. Kigoma 2,470,967
10.Mara. 2,356,255
kwan arusha vip?
 
HIZI NI TAKWIMU ZA KUPIKA.

SIJAWAHI KUWA NA IMANI N WABONGO HATA SIKU MOJA MAISHANI MWANGU.

YANI NI WATU WABABAISHAJI SANA.
 
HIZI NI TAKWIMU ZA KUPIKA.

SIJAWAHI KUWA NA IMANI N WABONGO HATA SIKU MOJA MAISHANI MWANGU.

YANI NI WATU WABABAISHAJI SANA.
Kapike na wewe kama kupika takwimu ni rahisi hivyo.
 
Umeshafika morogoro mjini au uliishia msamvu tu,kuna hadi nyumba za udongo,Tanga kuzuri sana acha kabisa
Acha zako basi tanga kuna uzuri gani..?? Au zile barabara ?

Nyumba za udongo hata kariakoo zipo kibao au hujawahi ziona? Pia msamvu ni morogoro mjini lakini uzuri wa mji wa morogoro sio hapo msamvu..hapo ni barabara na stendi kuu+round about kubwa zaidi Tz
 
Moro ni hali ya hewa tu ila hakuna kitu
 
Back
Top Bottom