Recent content by feedh

  1. F

    Niandae mtaji kiasi gani ili kuanzisha duka kama hili?

    Habari wakuu, Naomba kujua kwa wale wenye experience ya maduka ya mangi kama nitakaloliambatanisha hapo kwenye picha ,kuanzisha inahitaji mtaji wa shingapi ? Imechukua frame mbili hiyo. Asante
  2. F

    Wakuu wa Taasisi

    Habari wakuu Naomba msaada wa kufahamu wakuu wa taasisi za serikali hasa mashirika ya umma ambao wamedumu kwenye nafasi zao katika taasisi hizo hizo kwa muda mrefu walau miaka mitano bila kubadilishwa au kutenguliwa kuanzia 2016. Asante
  3. F

    Naomba kuwajua wakuu wa Taasisi waliokaa muda mrefu

    Habari wakuu Nani ambaye anaweza kunisaidia au kutusaidia kupata orodha ya wakuu wa taasisi (mashirika ya umma )ambao wamedumu kwa muda mrefu katika nafasi zao kwenye taasisi moja bila kubadilishwa au kutenguliwa ?Walau kuanzia kuanzia mwaka 2016 mpaka leo .Tupate ya ambao walau wamekaa kwa...
  4. F

    Familia nyingine ni za ajabu sana

    TRUE Waweza kuta kuna msababishaji wa hiyo situation humo humo ndani
  5. F

    Ladies

    Greetings All Et wasichana/kina mama ,wakati wa sex mnapenda ifanywe kama mnaadhibiwa na kugeuzwa geuzwa kwa kila namna au mnapenda tu soft ya kiutu uzima [emoji23]kifo cha mende basi ? Make kuna mda unamkunja mtu hadi huruma [emoji846]
  6. F

    Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

    Watu tu wamecomment tu kwa hasira…[emoji23] Itoshe kusema wamekuonea wivu kula wanyama watatu Ukweli ni kwamba hapa mjini mademu wengi wanaliwa sana kisa tu gari Mfn hizi safari za kwenda job daily monii ukiwa na ndinga unawakamua wengi sana
  7. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wazee wa kimasihara walionielekeza la chaz songea nipo hapa mnipokee sasa[emoji23]
  8. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio nipo bado
  9. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Basi natafuta mwenyeji wa hapa kimasira line anicompany wa songea,twende huko lachaz panappsemekana kunawaka
  10. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nipo songea one week sasa, bado wiki nyengine moja, mbona huu mji hauna pisi asee, viwanja pia mushkiri, kila siku saa tatu nishajifunika mablanket ya shy annex
  11. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wale wa kusome mimba nje nje,akishika azae tu nipate mtoto wa ujanani[emoji2] Anywayz,always kwa soks zinaishi na mimi na ninaishi nazo
  12. F

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Kwa mwamposa huyo kunawahusu,cases zipo nyingi sana huko kama hizo naonaga,na zinaisha,............
  13. F

    Utatuzi: Hii Changamoto ya Wanafunzi wa Afya (M.D) kukosa Ada ni Mfumo au ndiyo imepangwa iwe hivyo.

    In short ni hivi, Ada ya mtu mmoja wa MD inaweza kuwa package ya wanafunzi wawili au zaidi ambao maybe wamepewa boom peke yake, so kuliko kumpa mtu mmoja pesa kubwa hiyo ni bora kuwapatia wengine hata boom tu wenye uhitaji, priority ni wapate wengi sio mtu mmoja kupata kiasi kikubwa
  14. F

    Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Wale wanaojiinua kidogo ili chupi ivuke kwa urahisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom