Sitosahau ile siku nipo Songea, kuna manzi nilimpanga fresh akanihakikishia mda sio mrefu anatokea.. basi mzee baba nikasaka lodge kali nikamuelekeza muhudumu nalipia room hapa ila sitokaa zaidi ya masaa matatu naomba unipe bei ya short time.. room ilikua ya 15k kulala, short time elfu sita.. nikalipia short time nikazama ndani fasta!
Kufika ndani dem nampigia simu hapokei, baadae alivyoona napiga sana akazima na cm. Dah! Nikaanza kupata wenge! Baada ya lisaa napiga Tena simu haipatikani! Nikajua hapa nimeshaliwa ukizingatia mpaka nauli ya boda boda nilimtumia..
Kinyonge sana nikaenda reception kwa muhudumu nikamueleza hali halisi ili kama vipi anirudishie hata nusu hasara (Yani buku tatu) akagoma. Alikua ni mama mtu mzima miaka kama 56 hivi, akaniambia hela hua haturudishi kama huyo uliyeahidiana nae hajafika basi twende nikakuhudumie mimi. Akaweka kile kibao cha NAFASI ZIMEJAA kinyonge tukarudi room nikaenda kupiga goli zangu mbili, sikumpa hata mia!!!
Baada ya siku tatu nimesharudi Dar yule manzi ananipigia cm kuniomba msamaha eti ile siku alishindwa kutoka maza ake aliwahi kurudi. Nikablock na namba kabisa!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app