Naomba kuwajua wakuu wa Taasisi waliokaa muda mrefu

feedh

Member
Sep 15, 2021
16
134
Habari wakuu
Nani ambaye anaweza kunisaidia au kutusaidia kupata orodha ya wakuu wa taasisi (mashirika ya umma )ambao wamedumu kwa muda mrefu katika nafasi zao kwenye taasisi moja bila kubadilishwa au kutenguliwa ?Walau kuanzia kuanzia mwaka 2016 mpaka leo .Tupate ya ambao walau wamekaa kwa miaka mitano na kuendelea.
 
Back
Top Bottom