Utatuzi: Hii Changamoto ya Wanafunzi wa Afya (M.D) kukosa Ada ni Mfumo au ndiyo imepangwa iwe hivyo.

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
759
1,284
Habari!

Baada ya Bodi ya Mikopo( HESLB)

kutangangaza majina ya wanafunzi ambao ni

wanufaika wa mikopo kwa awamu ya

kwanza(Batch one Beneficiaries) Wanafunzi

wa Afya hasa hawa wa M.D imeonekana

wamepata Meals and Accomodation pekee

ambapo;

BS= 0
TUITION= 0
FPT 0
SFR 0
RESEARCH 0

So, Kwa yeyote aliyepata taarifa(Za ndani

kabisa) au mwenye uelewa na hili jambo

anaweza kushare nasi jambo hili( Maana ni

Wanafunzi wengi sana wa M.D)

Natanguliza shukrani
 
Ukisema afya Then ukaweka MD unakosea ,waliosoma Famasi ?DDS?environmental health?
 
In short ni hivi, Ada ya mtu mmoja wa MD inaweza kuwa package ya wanafunzi wawili au zaidi ambao maybe wamepewa boom peke yake, so kuliko kumpa mtu mmoja pesa kubwa hiyo ni bora kuwapatia wengine hata boom tu wenye uhitaji, priority ni wapate wengi sio mtu mmoja kupata kiasi kikubwa
 
Uko sawa wapewe wote sasa walioomba kwa mtindo huo
 
Hizo kada za Afya zilikuwa priority zamani Sasa hivi graduate wako kitaa hawana kazi, Kwahiyo naona wameamua wooote wafanane
Sio kweli nitafutie MD aliyepo kitaa .Ukikuta MD yuko kitaa anashida kichwani tena sana.
 
Dogo jidanganye huku mtaani wapo wengi tu,wengine wamejishikiza kwenye vizahati bubu mshahara laki na nusu,MD sasa hivi sio dili kivile

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
Sio kweli,tulitangaza nafasi za MD kuwa fill in the gap kwenye baadhi ya hispital na vituo vya afya nchini waliitajika 100+ hatukuwapata .Waliopatikana ni hawa waliosoma miaka mitatu wanaoitwa "CLINICAL Officers " na sio MD waliosoma zaidi ya miaka 5 au 6 plus internship ya mwaka mmoja na ku pass mtihani wa kuwa register MD.Hii ilikuwa under Global fund na USAID support. Huyo aliyepo mtaani sio MD labda unawachanganya
 
Habari!

Baada ya Bodi ya Mikopo( HESLB)

kutangangaza majina ya wanafunzi ambao ni

wanufaika wa mikopo kwa awamu ya

kwanza(Batch one Beneficiaries) Wanafunzi

wa Afya hasa hawa wa M.D imeonekana

wamepata Meals and Accomodation pekee

ambapo;

BS= 0
TUITION= 0
FPT 0
SFR 0
RESEARCH 0

So, Kwa yeyote aliyepata taarifa(Za ndani

kabisa) au mwenye uelewa na hili jambo

anaweza kushare nasi jambo hili( Maana ni

Wanafunzi wengi sana wa M.D)

Natanguliza shukrani
Unahitaji kushukuru kwa ulichokipata. Kozi za afya, sayansi na zinazofanana na hizo zilipewa priority wakati uhitaji ulikuwa mkubwa na watu walikuwa wachache. Kwa sasa wahitimu wa kozi hizo ni wengi mtaani na wanaohitaji mkopo ni wengi zaidi.
 
, MD imeshushwa hadhi kinoma aseee. Vijana wa road to muhas,kcmc,bugando leo serikali inawaambia hatuna ela,ongezeeni ada msome.
 
Back
Top Bottom