Office ya NIDA Arusha hapo manispaa, ID gani zinatengenezwa mwaka mzima? Kibaya ukienda kuomba namba ili ukaprocess passport hupati msaada. Wanakwambia leta invitation letter ya nchi unayotaka kusafiri. Hii ni kazi ya immigration au NIDA? ID mcheleweshe then kutoa number nako ni kwa urasimu...
Wivu tu, sio reseach!! Kwenye movie ya Mrs Doubtfire" mpenzi wa wife alipokuja home for the first time na alikuwa anendesha gari "kubwa". Mrs doubtfire kwa hasira akasema "men with big cars, have small d..k"
Chocolate yenye manufaa zaidi mwilini ni dark chocolate. Lakini chocolate yoyote ina fat na caffein kwa hiyo matumizi yake yawe moderate. Shoppers supermarket dar wanauza dark chocolates aina mbalimbali
Forgiveness is for yourself, lady!. Jamaa hana hata habari ya chuki uliyonayo, ana amani na furaha wewe unakufa na hasira. Life is too short. Shimo unalochimba utatumbukia mwenyewe, Karma is a bi*ch!
Ila wakopaji wasiorudisha wanakera sana, huwa wanaona wao ndio wenye shida mkopeshaji hana shida na hiyo hela yake. Nina rafiki kaingia mtini mpaka urafiki umekufa kisa hela ndogo tu. Siku hizi nimejifunza kusema "sina" au kutoa kiasi kidogo cha "potelea mbali" ingawa unaoana kabisa mtu haamini...
Majanga kidogo!! Anaweza kupata ujauzito na mimba ikatoka au mtoto akafa (God forbid) lakini huo ndio ukweli watoto ni majaliwa. Huyo dada kama ana akili akizinduka atimue mbio, hakuna mume hapo. Atazimia maisha yake yote!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.