AFRICAN BOY
Member
- Jan 30, 2013
- 64
- 6
wanawake wengn huwa wajinga ukimwambia naye atakuja kukutaja akibanwa na jamaa alafu jamaa atakuona snich,mwanamke n mwanamke2 nina experience nao kaka
Yani cku zote upo kimya duuuh,siku ukimuona na totos mtonye dada ako aje afumanie mwenyewe ila jamaa hakikisha asijue kama umemuona!
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
kaa ktako funguka kwa shem wako , umwambie kuhusu madhara yanayoweza kutokea kutokana na kupenda totoz kama vile kulepeleka magonjwa kwa mkewe, siku akifumwa na ndoa ndo mwisho , familia itasambaratika hata wewe na yeye urafiki utapotea tu!
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
Naona kwa jinsi ulivyo jieleza, huenda shem kavua toto lako. Hasira unaificha kidogo lakini kengele ilisha lia. Amua kumtonya dadako pale unapohakiki kuwa yupo ndani ya guest. Utafanikiwa mawili, umelipa kisasi na umemweza mwizi wako.
huna maadili,huwezi kunywa pombe na kuchukua vibinti na shemeji yako,na pili masihs ya dadaako na mumewe hayakuhusu kama walivyojuana waache wayamalize wenyewe,wewe kaa mbali na shemejiyo kwani akifumaniwa tuu atakuuwa wewe kwanza
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
ila na wewe humpendi dada yako mda wote huo anagawa tamu ya dada kwa wengine unaangalia tu aisee chaliii we si sawa ... acha totoz wewwe kwanza allafu mpe makavu ili muheshimiane
Mambo ya wanandoa yaacheni kama yalivyo?
ndo maana naogopa kuingia huko japo kaumri kanakimbia loh
wacha kuogopa wajibu dada? bila hivyo network yako ni ndogo sana;
utakosa mashemeji, wifi, mama mkwe, baba mkwe na watoto.