Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

Siku zote ni bora anaekwambia ukweli,muhudumu kafanya vema kumtamkia hivo. Wazir kama ni mungwana atalifanyia kazi hilo badala ya kumchukulia hatua isiyostahiki.
 
Nampongeza huyo mtumishi kwa kuwa muwazi kwa kiwango hicho,ni mfano wa kuigwa na watumishi wengine wawe wawazi pindi viongozi wanapotembelea maeneo yao ya kazi.
 
Naona tatizo ni tafsiri ya mleta mada. Yaweza kuwa Mhudumu alitumia lugha hiyo ili kumhisisha waziri aone ukubwa wa tatizo.
 
Mhudumu wa mochwari ametoa mfano tu. Hakusema kuwa waziri atafia Mbeya.
 
Hiyo nafasi haina competition ndo mana alipata huo ujasiri.
Hakuna mtoto wa kigogo anayeweza apply.
 
Naona tatizo ni tafsiri ya mleta mada. Yaweza kuwa Mhudumu alitumia lugha hiyo ili kumhisisha waziri aone ukubwa wa tatizo.
Mleta mada kaongeza au kapunguza nini hapo?!

Mbona matamshi yote yako kwenye "funga na fungua semi"?!
 
Mi sioni ubaya wa kauli ya jamaa huyu kwani yupo sahihi kabisa ujumbe umemfikia mlengwa tena muhusika mkuu, ila cha ziada ni kwamba hawa jamaa hawana woga hata kidogo,mtu alie zoea kujifungia na maiti chumba kimoja atamuhofia nani? Na wangeendelea kuuliza uliza maswali asingeshindwa kuwafungia humo ndani akaenda zake lunch
 
Mleta mada kaongeza au kapunguza nini hapo?!

Mbona matamshi yote yako kwenye "funga na fungua semi"?!

Title na observation ya mleta mada vinalazimisha maelezo ya mhudumu kuwa ni kosa zaidi kuliko kuwa ni ukweli na ndio msg aliyotakiwa kuambiwa naibu waziri
 
Title na observation ya mleta mada vinalazimisha maelezo ya mhudumu kuwa ni kosa zaidi kuliko kuwa ni ukweli na ndio msg aliyotakiwa kuambiwa naibu waziri

Mkuu,hiyo title nime-copy na ku-paste kama ilivyo kutoka kwenye gazeti

Tafuta gazeti la Mwananchi ujionee mwenyewe
 
Hapo hamna kosa bali naibu waziri kaambiwa ukweli ingawa hawa wenzetu wanaojiita waheshimiwa zao ni akhan,india nk kutibiwa na wengi wao hufia huko
 
Khaa!!! Mbona inajulikana wazi kabisa wengi wanaofanya kazi hiyo wako dakika3 mbele. Na hakuna rekodi kama kuna aliyowahi kufukuzwa kazi na waziri huyo anaelewa kabisa. Hata hivyo ujumbe umefika.
 
kama ingekua nafasi ya mganga mkuu agehofia kusema ukweli. Lakini chumba cha kuhifadhi maiti. Nani mtt wa kigogo apigiwe pande
 
Back
Top Bottom