Kwa kazi aliyonayo usishangae sana, na kama ni primary school basi hali inakua mbaya zaidi! unavyomuona ni mwanamke anaejiamini? na jee kiwango chake cha wivu unakionaje? hebu jibu hapa halafu tujaribu kuangalia mengine !!!!
Kwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa hayuko interested na kitu chochote. Jumatatu hadi ijumaa yuko busy kazini. Jumamosi anaenda sokoni kufanya shopping. Jumapili kwenye ibada. Nikimuliza ni wimbo gani anaupenda uwe wa dini au kidunia hajui manake hapendi kuangalia hata tv, hata taarifa ya habari huwa namlazimisha. Hajui kujiremba anavaa kawaida sana. Nikimwambia outing anasema bora hiyo hela tununue chakula tupike hapa nyumba. Hata usafi wa nyumba sio wa kiviile saana. Yeye akiona watoto wameoga wameshiba ndo starehe yake basi, hata kuwatembelea marafiki huwa namlazimisha. Nimejaribu kumuliza hana jibu...anaona kama namuonea na siyo kwamba anachoka sana iwe ndo sababu kwani msichana wa kazi tunae. Na sio kwamba tuna umri mdogo hapana, tulioana tukiwa na umri wa kuitwa mama na baba. NISHAURINI NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU MKE WANGU

[h=2]Mke wangu hana obby ya kitu chochote.[/h]
Hiyo hata mke wangu hana!!
Marafiki tunao na huwa wanakuja kututembelea nyumbani ila wakitualika tutoke outing wakati mwingine anakubali na kuna wakati akili haimtumi kutoka na huwa hana sababu ya msingi inayomnyima kutoka.
Hahahahaaaaa babuuuuu loooh hadi vijiko bar huyo wa namna hiyo balaaa, walau kwenye kupenda kareti najua utakuwa unaogopa asipate ,mbinu za kujihami unapomtunihia misuli au kukupiga kabisa hahahahahaaaaa
mie nna hobby ya kupika na kula.
Kwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa hayuko interested na kitu chochote. Jumatatu hadi ijumaa yuko busy kazini. Jumamosi anaenda sokoni kufanya shopping. Jumapili kwenye ibada. Nikimuliza ni wimbo gani anaupenda uwe wa dini au kidunia hajui manake hapendi kuangalia hata tv, hata taarifa ya habari huwa namlazimisha. Hajui kujiremba anavaa kawaida sana. Nikimwambia outing anasema bora hiyo hela tununue chakula tupike hapa nyumba. Hata usafi wa nyumba sio wa kiviile saana. Yeye akiona watoto wameoga wameshiba ndo starehe yake basi, hata kuwatembelea marafiki huwa namlazimisha. Nimejaribu kumuliza hana jibu...anaona kama namuonea na siyo kwamba anachoka sana iwe ndo sababu kwani msichana wa kazi tunae. Na sio kwamba tuna umri mdogo hapana, tulioana tukiwa na umri wa kuitwa mama na baba. NISHAURINI NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU MKE WANGU
Mkuu nimeisoma hii post yako na nimekuelewa vizuriKwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa hayuko interested na kitu chochote. Jumatatu hadi ijumaa yuko busy kazini. Jumamosi anaenda sokoni kufanya shopping. Jumapili kwenye ibada. Nikimuliza ni wimbo gani anaupenda uwe wa dini au kidunia hajui manake hapendi kuangalia hata tv, hata taarifa ya habari huwa namlazimisha. Hajui kujiremba anavaa kawaida sana. Nikimwambia outing anasema bora hiyo hela tununue chakula tupike hapa nyumba. Hata usafi wa nyumba sio wa kiviile saana. Yeye akiona watoto wameoga wameshiba ndo starehe yake basi, hata kuwatembelea marafiki huwa namlazimisha. Nimejaribu kumuliza hana jibu...anaona kama namuonea na siyo kwamba anachoka sana iwe ndo sababu kwani msichana wa kazi tunae. Na sio kwamba tuna umri mdogo hapana, tulioana tukiwa na umri wa kuitwa mama na baba. NISHAURINI NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU MKE WANGU