Recent content by fbytel0000

  1. fbytel0000

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Habari gani, weekend hii kuanzia kesho nitakuwa Mbeya. Basi naomba wadada wa Mbeya tufahamiane, tuburudike weekend hii na story ziendelee.
  2. fbytel0000

    Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Unasema huna mume, afu tena sina mke wa kuzugia...we ni mwanaume au mwanamke!?...hizi story mnatunga ilimradi mpate nyuzi za kuandika Jamii Forum
  3. fbytel0000

    Nimepata ugonjwa gani huu? Msaada tafadhali

    Habari za majukumu ndugu zangu. Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote. Nina miezi miwili toka...
  4. fbytel0000

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Yeah kama walishindwa kutambua informatics ni nini, ujue hawakuwa na fani ya IT
  5. fbytel0000

    Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Kwani mkuu usaili wako lini? Wengi tumefanyiwa usaili leo
  6. fbytel0000

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Mimi ni kama wewe nimesoma SUA B.sc in Education (Informatics & Mathematics)...vyetu vyangu wamevikubali kuendelea na usaili. Shida hakuna hata msaili mmoja mwenye fani ya IT, wote walijitambulisha kwa majina na taaluma zao. Waliponiambia nieleze Operating system ni nini, nahisi kama...
  7. fbytel0000

    Simu janja yako ikizima wakati unaingiza taarifa utafanyaje?

    Unawasha tena na kujaribu kuingiza taarifa upya
  8. fbytel0000

    I do not understand married-men always

    You are married, not "your married"
  9. fbytel0000

    Wanaume hii siri nawapa; zama zimebadilika, Tusioe!

    Mimi nakuunga mkono, ndoa zimekuwa hazina maana tena. Mimi nina miaka 29 lakini sifikirii na sina wazo la kuoa, nina jamaa zangu wa rika yangu ambao ndoa zao bado ni changa...hao jamaa ni mashuhuda jinsi gani ndoa zao zimekuwa ni tatizo. Sio hao tu, hata wale walioko kwenye ndoa zaidi ya miaka...
  10. fbytel0000

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    unaweza endelea bila hata kulipia
  11. fbytel0000

    Kweli nimeamini tuna upungufu wa walimu wa sayansi na hisabati

    Mimi mmojawapo, bora nifanye biashara...mshahara 500K baada ya makato, bodi ya mikopo wanapandisha makato kutoka 8% mpaka 15% kwa kujiamlia tu bila kushirikisha wadau. Wacha tukimbie tu ualimu.
  12. fbytel0000

    Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Toka nilipomaliza mwaka jana nimekuwa nikilala na vyeti nikisubiri ajira, siasa za ajira zikaanza. Tumekumbatia vyetu huko mjini tukisubiri hiyo miezi miwili iishe tukaambulia kapa, hali ikazidi kuwa ngumu...thamani ya vyeti ikashuka. Nimekimbilia shambani ili nijikwamue kiuchumi na vyeti...
Back
Top Bottom