Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

Hili ni tatzo lako kwa nini uache vyeti mbali na ulipo?
Toka nilipomaliza mwaka jana nimekuwa nikilala na vyeti nikisubiri ajira, siasa za ajira zikaanza. Tumekumbatia vyetu huko mjini tukisubiri hiyo miezi miwili iishe tukaambulia kapa, hali ikazidi kuwa ngumu...thamani ya vyeti ikashuka. Nimekimbilia shambani ili nijikwamue kiuchumi na vyeti nikaacha mjini, kwa sababu hata wakuu wa shule walitunyima kufundisha kwa mda(tempo).
 
Tangazo la mwendokasi, halipo tcu na kama lipo kwa mantiki gani? Hata huko www.moe.go.tz halipo. Inawezekana ajira zimetangazwa ila hili tangazo linatia mashaka
Mkuu hivi ninavyoandika hapa nimefungua hiyo tovuti hilo tangazo lipo limeweka jana jumanne 13 December 2016 12:36, kama una vigezo changamka acha kulala lala.
 
Taifa lipo kwenye mchakato wakununua ndege tu maswala ya ajira subilini hadi watumishi hewa waishe
 
Hii nchi inakoelekea jamani tumche Mungu coz kila kukicha linaibuka jipya liwe kweli au si kweli .
 
Toka nilipomaliza mwaka jana nimekuwa nikilala na vyeti nikisubiri ajira, siasa za ajira zikaanza. Tumekumbatia vyetu huko mjini tukisubiri hiyo miezi miwili iishe tukaambulia kapa, hali ikazidi kuwa ngumu...thamani ya vyeti ikashuka. Nimekimbilia shambani ili nijikwamue kiuchumi na vyeti nikaacha mjini, kwa sababu hata wakuu wa shule walitunyima kufundisha kwa mda(tempo).
Nadhani sasa sio muda wa kuanza kulalamika, wasiliana hata na ndugu na jamaa wa karibu waviscan kisha wakutumie kama soft copy ndipo utume huko huko ulipo.

Au tafuta nauli popote pale uende ukatume, utalalamika baada ya kutuma. Siku nyingine scan vyeti vyako alafu uvitunze kitaalamu (mtandaoni au kwenye simu yako) ndipo utaweza kuvitumia muda wowote vikihitajika kama soft copy mahali popote unapoweza kuaccess internet hata kwa kutumia simu yako. Asante.
 
Nakumbuka june ile waalitoa tangazo kukanusha zile tetesi za kusitisha kutoa ajira kwa walimu wa sanaa na biashara mpaka leo tangazo lile lipo tamisemi aya leo kikowapi sasa kumbe tuwe tunaamin kila tetesi sasa
Tutakutana 2020 walah
 
Inawezekana wanatoa kwa awamu, sidhani kama zimesitishwa maana kimsingi walimu hawawezi kutosha maana wengine wanastaafu na wengine wanapungua kutokana sababu nyingine. Chamsingi andaa vyeti, fua begi nk. Soon unaweza kuitwa, usiseme umeshtukizwa.
 
walimu wa art hawana umuhimu kwa sasa hususani wakati huu tunapopiga push up kuingia nchi ya viwanda na uchumi wakati. waambieni wakatafute kazi za saizi yao. injinia hata kwa kigogo atasanifu jengo, atadesign gari; watu wa kiswahili swahili na histori naomba tu mnielewa ila wale wa jiografia tutawatafutia kazi nyingine.
 
Walikanusha hii lakini
1481816499215.jpg
 
soma taarifa vizuri serikali haikukanusha kuhusu ajira za walimu wa sayansi na hisabati; ilichokanusha ni kule kusambaa kwa taarifa kwamba ajira ni november; ndo ikasema kwamba ajira zikitoka zitatangazwa kwenye vyombo vya habari pamoja na tovuti ya TAMISEMI
ndio wametoa siku tatu
 
Back
Top Bottom