Hii ni kweli kabisa! Watanzania tujifunze technology kama hizi,wakenya walishatuona waahamba sana kipindi cha nyuma ila kwa sasa wamenyanyua mikono. Watanzania tukiamua tunaweza!
Ahsante mtoa post umenitia moyo! Pia kwa kuongezea,
Watakaotaka kujifunza programing language yeyote tembelea EdX.org utakutana na maprofesa na wataalamu wazuri toka MIT na Harvard, pia kwa wale beginners waweza tembelea SoloLearn.com kuna material mazuri!
Nina hayo tu watanzania wenzangu!