Nimepata ugonjwa gani huu? Msaada tafadhali

Ingekuwa busara sana kama ungetembelea kituo cha afya kilicho karibu yako kwa uchunguzi zaidi
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
Chukua majani ya mlongelonge, changanya na mchuzi wa limau na pilipili kichaa na kitunguu swaumu nawa kwa sabuni kisha pakaa hiyo mixture usiku na asubuhi kwa siku 3 mfulurizo
 
KAZI ya pilipili kichaa ni ipi hapo mkuu👉🏿🤣🤣
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
Komaaaa
 
no free consultations aisee....

muone daktari aiser
 
Huo ugonjwa mbaya wahi,ngozi inakuwa kama Ina malenge lenge cyo
 
Chukua majani ya mlongelonge, changanya na mchuzi wa limau na pilipili kichaa na kitunguu swaumu nawa kwa sabuni kisha pakaa hiyo mixture usiku na asubuhi kwa siku 3 mfulurizo
Pilipili tena mkuu....
 
Chukua majani ya mlongelonge, changanya na mchuzi wa limau na pilipili kichaa na kitunguu swaumu nawa kwa sabuni kisha pakaa hiyo mixture usiku na asubuhi kwa siku 3 mfulurizo
Hili siyo jukwaa la jokes mkuu.
 
Kuna member mmoja aliwahi kupata shida kama hiyo, basi akatupia na picha....basi badala ya kupata ushauri, kuna mdada hapa alianza kuusifia...😂
 
Back
Top Bottom