Recent content by Fazz

  1. Fazz

    JamiiForums Tanzania Tangu lini utupu wa mtoto wako ukawa kitega uchumi cha familia

    Mkuu sema tu kona baa ipi kama ni hapa kibamba nikajionee
  2. Fazz

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana usije ukakutana tena uso kwa uso na watu uliosoma nao secondary

    Binafsi sitamani ila kila siku lazima nionane na mmja wapo hata wa chuo tu
  3. Fazz

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua chimbo la bando tafadhali

    Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini please mwenye chimbo msaada
  4. Fazz

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

    Mkuu ww km mm tu marafk zetu ni cm
  5. Fazz

    JamiiForums Tanzania Tunampa Bongo Zozo hadi Jumatatu aturudishie hela zetu

    Ila ingepanda usingempa hata asant imeshuka unamtafutia lawama 😂 😂
  6. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Tumesubir hadi usiku wa manage afu raund mbili tu kumbafuu
  7. Fazz

    JamiiForums Tanzania Eeh Mwenyezi Mungu wasaidie wanaume wote tunaokula kwa jasho

    Baba wa Mbinguni wanaume wote Tusio na connection yoyote. Tusio na kazi maalum Tusio na urithi wa kurithi Tunaotegemewa na familia hadi ukoo Tusio na uhakika wa tunachokifanya Tunaopitia nyakati ngum sana Tunakuomba utupe ujasiri moyo na matumaini ya kupambana bila kuchoka .Enyi wanaume...
  8. Fazz

    JamiiForums Tanzania Dagaa zawa Mboga ya Christmas 2025

    😂 we mzee hizi picha unatoaga wap
  9. Fazz

    JamiiForums Tanzania Christmas hii: Sema lolote kuhusu ukanda wa gaza

    Kwa siku za karibuni wavaa granda ni wengi kuliko wananHI ....pia hawa ndo wale waliotambulishq hela yao 😊
  10. Fazz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini cha kufanya, endapo internet itazimwa tena…

    Na pia kama tukipata maelekezo namna ya kutumia intenet ya bure kupitia app yaturnel httn kule playstore itapendezazaidi
  11. Fazz

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Tell her to go to hell
  12. Fazz

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira

    Wanahitajika mabinti wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya kusambaza chakula kwa wateja Location : Kariakoo Mshahara maeleano Umri wowote ila awe anajituma Kama upo tayari zama inbox tuyajenge
  13. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Mangwea ft mirror _ alma
  14. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Shukrani sana kwa andiko na nyie mliopo makazini msijisahau
  15. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mahusiano imekaaje hii?

    Kataaaaa ......
Back
Top Bottom