Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Nime kup mwaliko utaki sio🤔🤔🤔🤔
Nime kup mwaliko utaki sio🤔🤔🤔🤔
February 24, 2025.. your reasoning capability and reasoning capacity is below averageKwako ndo wanachambua dagaa, baada ya kumaliza mlivyoiba tarehe 29 okt,
Halafu hyo haikuwa ajenda yenu, ajenda yenu ilikuwa KUANDAMANA LEO..
mbona hamjajitokeza tuwaone kidogo enyi nyumbu?
HALAFU NIMEJARIBU KUFUATILIA THREAD ZAKO NYINGI NI KAMA ZINAJIRUDIA KWA MAJIRA KAMA HAYA
Nakuja mkuu maana dagaa leo sitaki waingie kinywani mwangu.Nime kup mwaliko utaki sio
Hapo walipokua wanaliwa watu na mamba Hayati Mkapa akawatengenezea Daraja...Madai ya mleta na mada ni ya kweli,maisha ni magumu hakuna mfano,anaebisha atembelee kaza za vijijini huku nangurukuru.
nakumbuka kuna bwana mmoja tulikuwa tuna...... Acha tu machozi yanalegalega nikikumbuka tukio hilo.Hapo walipokua wanaliwa watu na mamba Hayati Mkapa akawatengenezea Daraja...
Mnafanya nini?nakumbuka kuna bwana mmoja tulikuwa tuna...... Acha tu machozi yanalegalega nikikumbuka tukio hilo.
Kuna ubwabwa maharagweNakuja mkuu maana dagaa leo sitaki waingie kinywani mwangu.
Dadavua tu kwa ufupi mkuu ili tulie wote.nakumbuka kuna bwana mmoja tulikuwa tuna...... Acha tu machozi yanalegalega nikikumbuka tukio hilo.
Asante mkuu, Mimi napenda sana ubwabwa 😋.Kuna ubwabwa maharagwe
Kwasababu ww ni chingaAsante mkuu, Mimi napenda sana ubwabwa 😋.
Kwani machinga wanapenda ubwabwa?Kwasababu ww ni chinga
Kihesa hiyo
Ndio wao ugaliKwani machinga wanapenda ubwabwa?
😂 we mzee hizi picha unatoaga wap
Usiwadharau dagaa wamejaa protein zenye faida mwilini. Achana na kasumba za kula pilau ya kuku siku za sikukuu.Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo cha Sikukuu
View attachment 3520300
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani lakini viongozi wanaleta kejeli ( Magari namba E yamejazana- Mwigulu)
Sikukuu hii ni karma haipo kutokana n.a. Ugumu wa Maisha, Lakini Je hali hii itavumiliwa hadi lini?