Recent content by Fay2011

  1. F

    JamiiForums Tanzania Teh teh teh

    teh! teh! teh!
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu v/s nesi

    Wote wanafaa.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume

    Wapendwa wana JF kama nilivyojitokeza kutafuta mchumba, sasa napenda kuwapa taarifa kuwa mchumba nimemshapata humu humu. Nawashukuru sana.
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa atongoza mkewe bila kujijua

    Hii ni hadithi ya kutunga
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlio na wanaume acheni uchoyo waoneeni huruma basi wasio na wanaume

    Hope u are not serious, hao wanawake wengine na wao si watafute waume zao? Kwa nini wachangie waume wa wenzao?
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuamua jamanii!

    Dalili ya mvua ni mawingu, endelea tu na maisha yako huyo anaonekana hakuhitaji tena.
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

    Hongera sana na Mungu azidi kuwajalia maisha yenye furaha daima.
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deeply in love!

    Hongera sana ila mkumbuke Mungu daima ili shetani asipate nafasi.
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heart broken again

    Pole sana, Mungu atakupa hitaji la moyo wako na mpenzi wa kweli.
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nioe mke mwingine?

    Pole sana kakangu, huyo ameshapoteza mapenzi na wewe kwa hayo mafanikio ambayo wewe ndo sababu. Jaribu kukaa naye chini na kumwelekeza na ikiwezekana mkumbushe mlikotoka. Ikishindikana hapo naona mambo ni magumu.
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

    All the best mpendwa. Mungu akujalie hitaji la moyo wako litimie.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Msiba

    Pole sana ndugu yetu. Mingu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti kama mvua

    Sidhani kama kumwacha ilikuwa ni busara. Naona wangejaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo badala ya kulikimbia. Ukisikia kupendana katika shida na raha ndo huko. Sijui kama ni ugonjwa au la ila ni vizuri angeenda hospitali wataalam wangeweza kujua tatizo nini na kumpa ufumbuzi.
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya hili?

    I don't think so, labda ufanye ka-research kadogo.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    RIP babu yetu
Back
Top Bottom