Jamaa alijikuta akimtongoza mkewe wa ndoa na kuumbuka kwa ukiwembe na tamaa zisizo na mpango maana mkewe ni mzuri na mwenye tabia njema. Kilichotokea ni kuwa jamaa alienda pale chuo cha IFM na kumwaga business kadi kadhaa kwa muuza matunda nje ya geti la chuo hicho. Makubaliano yalikuwa muuza matunda awe anazigawa kadi kwa warembo wazuri akimaambia kuwa muhusika aliwaona na hakupata wasaa wa kuongea nao kwa hiyo ameacha kadi hizo kwa masiliano zaidi. Wale waliojikoki walimtafuta na jamaa aliendelea nao kivyake sasa bahati mbaya muuza matunda aligawa kadi kwa "demu" mkali bila kujua ni mke wa muhusika na mke mtu alishtushwa sana kuona ubazabi wa mumewe mpendwa. Akaamua kununua line ya kuwasiliaana na jamaa hadi pale siku wanakutana lahaulaaaa kumbe mkewe? Kama wewe ungefanyaje??? Nawakilisha.
hii ni story au hadithi?