duu i kali..sasa tufanyeje jaman...
kwan shemej ni chibonge?ayo majasho pia harufu ndiii?
usimwache bwana..mwambie wakae chn wazungumze...
huyo kapata bwana tu... Kwani ndio mara ya kwanza kutiana?Nampongeza huyo dada, kapata sababu! Kwani ni nani kazaliwa mzima? Si amshauri waende hospitali akatibiwe au apewe ushauri?
usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja
usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja
Dah!! Mahandaki yanakuwaje?usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo mwanaume anavyovuja jasho, mashuka yote yanalowana, inamkera sana especially wakiwa kwenye kifo cha mende. yale majasho yote yana mmwagikia yeye, sasa si unajua jinsi yalivyo na chumvi?
Tatizo sio jasho la kwapa ambalo utatumia deodorant, anatoka jasho mwili mzima(kuanzia kichwani mpaka miguuni)
na sasahivi wapo kwenye nchi ya baridi, inakuwaje wakirudi bongo? kwenye joto.
nimecheka mpaka basi.
sijawahi kukutana na mtu wa hivi, je humu jf wapo? tatizo ni nini?ugonjwa? au
hahahahahhaahahh umeonaee ndo maana viwete wanabebwaHuyu hajatandikwa bakora sawasawa ! unazani angechapwa sawasawa hata hilo jasho angeliona?, kuna siku nilimuinamia mdada wa watu na mimeno yangu imejaa ugoro! kulaleki! mdada badala ya kishindo kuwa kikali ugoro aliukonfyuzi na goldi! Namskia ananung'unika " khaaaa! honey kumbe una meno ya goldi?".
Hii kali
Kumbe wenye mahandaki hawafikishiki hivi hivi??
Ngoja aje Kloro
hahahahahhaahahh umeonaee ndo maana viwete wanabebwa
Jamani, amuone daktari kwa ushauri kama kweli anampenda