Natafuta Mchumba/Mume

Kweli biashara matangazo, tokea hii ya kutafuta wachumba izidi kupanua wigo humu, nadhani promoshen inatakiwa sasa ili kuifanya iwe juu.
 
Wapendwa wana JF kama nilivyojitokeza kutafuta mchumba, sasa napenda kuwapa taarifa kuwa mchumba nimemshapata humu humu. Nawashukuru sana.
 
Wapendwa wana JF kama nilivyojitokeza kutafuta mchumba, sasa napenda kuwapa taarifa kuwa mchumba nimemshapata humu humu. Nawashukuru sana.
Hongera sana katika hilo;ila mimi bado sijapata ninaendelea kutafuta.
 
Wapendwa wana JF kama nilivyojitokeza kutafuta mchumba, sasa napenda kuwapa taarifa kuwa mchumba nimemshapata humu humu. Nawashukuru sana.
Hongera sana. Usisahau kutualika siku ya harusi tafadhali!
 
Wapendwa wana JF kama nilivyojitokeza kutafuta mchumba, sasa napenda kuwapa taarifa kuwa mchumba nimemshapata humu humu. Nawashukuru sana.
Hongera sana shemegi,
Kama mlivyokutana nategemea na harusi mtai-organize thru humu as well
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.
Nadhani mimi siwezi kukufaa, maana nina miaka 45 na mwezi mmoja. Bahati mbaya sana!!
 
nipo tayari, kama kweli upo serious basi tuwasiliane kwa namba hii, kama kuna mwanamke mzuri mwenye mvuto na anahitaji mme basi miye nipo tayari kabisa, nina sifa zote na hakika ukiniona utafurahi, tuwasiliane hapa mtumwamtumwa@yahoo.com.
 
Sometimes some people are joking are not serious at all. My self i will be happy as an islamic girl will assign to be to gether with me in life.

Send me: sandefs@yahoo.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom