Wanawake mlio na wanaume acheni uchoyo waoneeni huruma basi wasio na wanaume

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Bidhaa inapo kuwa adimu basi mjitahidi kwa upendo mshirikiane kile kidogo kilichopo. Haiwezekani mwanamke kwa maisha ya sasa kujitamba huyu ni mume wangu peke yake angali wapo wanawake wengine pia ambao wanahitaji huduma HII MHIMU kwa kila kiumbe kilichopo hapa ulimwenguni. Kama wewe umebahatika kuolewa utapata heshima yako kama mama mwenye nyumba za sifa nyingine nyingi lakini chonde chonde mumeo akitoa huduma mahali kwa heshima usikasirike.
 
Bonge la ushauri ....na haya magonjwa? HIV and other STI?
 
suits me fine babaake, ila sasa tukubaliane kuwa na mm naweza kutoa msaada kwa vijana wadogo ambao hawajawa stable kuweza kuoa. wengine ndo kwanza wana broken hearts, nitumie uzoefu wangu kwako kuponya nyoyo zao. issue ni kukubaliana tu! manake usichotaka kutendewa na mwenzio usimtendee manake mwosha huoshwa!

Bidhaa inapo kuwa adimu basi mjitahidi kwa upendo mshirikiane kile kidogo kilichopo. Haiwezekani mwanamke kwa maisha ya sasa kujitamba huyu ni mume wangu peke yake angali wapo wanawake wengine pia ambao wanahitaji huduma HII MHIMU kwa kila kiumbe kilichopo hapa ulimwenguni. Kama wewe umebahatika kuolewa utapata heshima yako kama mama mwenye nyumba za sifa nyingine nyingi lakini chonde chonde mumeo akitoa huduma mahali kwa heshima usikasirike.
 
Hilo ni wazo zuri iwapo utaliambatanisha na hili lifuatalo:
MKEO PIA AKITOA HUDUMA HII MUHIMU KWA WANAUME WENGINE KWA HESHIMA WALA USIKASIRIKE, KWA KUWA KUNA WANAUME WENGINE WANAMPENDA PIA!
 
Hope u are not serious, hao wanawake wengine na wao si watafute waume zao? Kwa nini wachangie waume wa wenzao?
 
Bidhaa inapo kuwa adimu basi mjitahidi kwa upendo mshirikiane kile kidogo kilichopo. Haiwezekani mwanamke kwa maisha ya sasa kujitamba huyu ni mume wangu peke yake angali wapo wanawake wengine pia ambao wanahitaji huduma HII MHIMU kwa kila kiumbe kilichopo hapa ulimwenguni. Kama wewe umebahatika kuolewa utapata heshima yako kama mama mwenye nyumba za sifa nyingine nyingi lakini chonde chonde mumeo akitoa huduma mahali kwa heshima usikasirike.
Wewe unatakaje?
 
.............'wanawake 7 watajing'ang'aniza kwa mwanamume mmoja ili walau wahesabiwe kuwa walikuwa na waume, lakini kwa MUNGU hakuna ndoa, ndoa ni hapa duniani, tu.............'
 
This is funny!
Some women searching for married men!
What is interesting is when both married and unmarried men search for married women!
So, where are you in the picture? Why do not you take some from us (married women) instead of blaming/begging us?
 
na wanaume walio na wanawake nao waache uchoyo! how about that? huoni kuwa hii ni vicious circle kuwa inawahusu wote wanawake na wanaume?
 
Mi wangu hua nanmwindikiaga kabarua kabisa... “cheza nae ila naomba arudi nyumbani on time...na akiwa msafi kama alivyoondoka!“
 
Hujawahi kusikiaa vya kuiba ni vitamu..
Ruhusu hatuwapi lakini bado wanafanya
Na huu wivu si ruhusu mtu...
 
Wewe nadhani una frustration ya ndoa yako unahitaji councelling
 
Hee!! Nimeshituka yaani unahalalisha uhuni/umalaya kwenye ndoa za watu hii kali kwa kweli kha!!!!
 
duuu! Umewaza nini wewe?
Hiyo nadhani inawezekana kwa mtu mwenye mapungufu ya akili peke yake.. Vp na wanawake walioolewa nao wawape vijana ambao hawajaoa?
 
Mi wangu hua nanmwindikiaga kabarua kabisa... “cheza nae ila naomba arudi nyumbani on time...na akiwa msafi kama alivyoondoka!“

Haaaah haaah Lizy so inabidi aoge huko huko!
 
Back
Top Bottom