Msiba

Msiba

Poleni sana.

981.gif
 
Inatukumbusha safari yetu ya kuelekea kwa Baba..tujiandae wapendwa, siku wala saa haifahamiki.
Baba ndo katutangulia, Mungu awafariji na kuwapa amani itokaye kwake, AMEN!
 
Wana jamii Nina msiba Wa baba yangu mkubwa Mr Mathias J Masinde Ottaru kimetokea 29/05/2011. Mazishi yatafanyika kibosho moshi.
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea.

Pole sana mkuu kwa msiba wa baba mkubwa. Mwenyezi Mungu Insha'Allah awape Subra.
 
Pole sana mkuu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu. Baba apumzike kwa amani, amina
 
Mkuu pokea pole zangu,mungu awape faraja ktk wakati huu mgumu kwenu
 
Pole kwa msiba kaka! Wote njia yetu ni hiyo hiyo ni suala la wakati tu. Mavumbini tulitoka na mavumbini tutarudi. Amen!
 
Pole sana ndugu yetu. Mingu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
 
pole sana mlabondo Mungu awatie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
 
pumzika mtumishi wan bwana mzee wangu Mathias J Masinde Ottaru
 
Back
Top Bottom