Jamani naomba contact za mjasirimali mwenye pizza store au bakery naomba kusoma kutoka kwake.
Pia naomba fundi wa umeme atakaenisaidia kuconvert mashine zinazotumia umeme wa Marekani ziweze kutumika Tanzania.
Natanguliza shukrani
Salaam wakuu,
Shukran kwa alieanzisha hii thread na wote waliochangia. MUBARIKIWE.
Jamani naomba contact za mjasirimali mwenye pizza store au bakery naomba kusoma kutoka kwake.
Pia naomba fundi wa umeme atakaenisaidia kuconvert mashine zinazotumia umeme wa Marekani ziweze kutumika Tanzania...
Jamani naomba kuuliza, ni kampuni gani inayotoa huduma ya internet ambayo itakuwa reliable 24 hrs. Kwani hizi internet cafe zinatumia mtandao gani? Maana nami nimejaribu hiyo Zantel daa kijasho kimenitoka.
Na Salma Said,Zanzibar
GENGE la kihalifu linalodaiwa kusafirisha vijana kutoka Tanzania na kuwapeleka Israel kwa ahadi ya kuwapatia kazi na maisha bora, lakini badala yake kuwatumikisha kwenye shughuli mbalimbali na kuwatelekeza, limeibuka visiwani hapa.
Tayari vijana watano wa Zanzibar...
Jaribu pia united nations Mama, iliwahi kuwekwa humu ukumbini si muda mrefu sana uliopita jinsi ya kuomba kazi UN. siku hizi enviroment issues zina market zaidi nchi zilizoendela. Good luck and all the best
Men tend to think that everything that is important to them should be important to their female partners as well, while women are inclined to sacrifice what they want to please the people close to them
give and take
Each of us has habits and behaviours that get on the nerves of the people...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.