The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,871
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....