Naomba nichangie tena kidogo;
Mwanamke anataka kukaa katikati ya moyo wa mumewe, sentesi hii ni pana.Nitaifafanua kidogo, yaani ajihakikishie kuwa nafasi yake kwa mumewe inatambuliwa na kupewa heshima yote. Yeye kama mdau mkuu wa familia yako kwa nini asijue kwa mfano, salary slip yako, kwa nini usimwambie unataka kununua shamba/kiwanja mpaka aambiwe na mtu mwingine kuwa mmeo ana shamba/kiwanja,kwa nini hajui a/c yako iko benki gani nk Yahitaji akili kuishi nao.
Na sisi wanaume tunakurupuka ktk uamuzi tunapooa,wengine wameoa qualification za wanawake sio mke.Mdada humjui( kukutana ofisini,au kuwa chuoni haitoshi hata kidogo),familia zingine zina laana(wanaume/wanawake).
Kuna moja kali niliipata Dsm, ukoo mzima hakuna mdada ambaye ameweza kuishi kwa mume zaidi ya miaka kumi bila kuachika,ila ni visura hasa na buku wamepiga la kutosha.