Msaada: Jinsi ya kutengeneza scramble eggs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya kutengeneza scramble eggs

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BAK, Jan 10, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Waungwana,

  Kuna mtu yeyote hapa jamvini ambaye anafahamu kukorofisha scramble eggs? Kama yuko naomba darasa. Kuna umuhimu wa kuwa na forum ya mapishi ili akina Mama, Bi Mkubwa, Bi Ntilie, Naima, WOS, Shishi, Lorain, Kelly01, Kinyau na wengineo wengi na hata njemba zinazojua kukaangiza wakatumwagia utaalamu wao katika idara nyeti ya jikoni. Naona Babu Swahili ananiangalia kwa jicho la hasira kwa kutumia neno 'kukorofisha' badala ya kupika..;)

  Natanguliza shukrani
   
  Last edited by a moderator: Jan 11, 2009
 2. m

  msabato masalia Senior Member

  #2
  Jan 10, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mayai changanya na maziwa kwa ratio ya 2 table spoon of mælk per egg,then mix with salt and pepper,then kwenye kikaango yenye mafuta ya uto.Then anza ku-skrambo.
  There you are mkuu.
   
 3. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160

  Umemdanganya mwenzio, kama anampikia mamsap ataachika leoleo. Usifuate hiyo recipe mwaya.
   
 4. m

  msabato masalia Senior Member

  #4
  Jan 10, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingekuwa afadhali kama ungesema nimekosea wapi ili mkuu aelewe,sasa unakosoa alafu hamna solution.Unakuwa ka mtu wa jungu bwana.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  LOL!...Chupaku ;) Haya mayai niliwahi kuyaagiza hoteli moja na yalipokuja nikayakataa kwamba sikuagiza scramble eggs kutokana na sura yake...LOL! Basi nikayakuta sehemu nyingine ambayo breakfast unakula tani yako chochote kile na yenyewe yalikuwapo. Nikasema ngoja nionje, kumbe mdomoni si mabaya :) lakini bahati mbaya sijui jinsi ya kuyakorofisha najua Omelette na mayai ya kuchemsha... LOL! hivyo nikaona si vibaya kama nitaomba msaada hapa jamvini.
   
 6. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mambo BAK,

  Yani kama ulikuwepo ndani ya kichwa changu. Kwa kweli mkifungua hiyo forum itakuwa poa sana. Sasa kuna hii site unaweza kupata pia mambo ya scramble eggs Alternative Remedies - How To Information | eHow.com.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Lorain, mambo poa tu. Nimeomba kuwepo hiyo forum ya mapishi siku nyingi tu. Sielewi tatizo ni nini mpaka leo haijawekwa hapa ukumbini.

  J'pili njema
   
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Bubu, kwani lazima iwepo forum? si tunaweza kupeana tu hizo recipes za mapishi mbalimbali kwa kufungua thread ya mapishi ambayo itakaa hapa muda wote? Hata hii tunaweza igeuza title tu tukaendelea..... kama mtu anataka kufunzwa kupika kisamvu cha kopo au kumla samaki wa kuparwa-kwa mfano,anaingia tu na kutuomba wadau tumpe mambo!- simple!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Siyo lazima, lakini itakuwa vizuri zaidi ikiwa kunakuwa na forum hiyo maana chochote kile cha kuhusiana na mapishi unajua utakipata wapi badala ya kuhangaika all over the place. Ukihitaji mambo ya soka unajua wapi pa kwenda, hivyo hakuna ubaya wowote wa kuwa na sehemu maalum ya mapishi.
   
 10. F

  Fatmas Member

  #10
  Jan 12, 2009
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Naona mkuu unataka kuanzisha vurugu hapa. Hizi habari za visamvu vya kopo na ulaji wa samaki wa kuparwa si mahala pake hapa; hususani katika hii mada.
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe ndie mwenye vurugu...!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:eek::D khaaaa!, ama waTz wana-kiswahili 'mreeeeeeeeeeefu!'
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Yaani Bubu umeniudhi yaani kweli yaani kweli hujui kutengeneza scrambled egg?...jeez thats the easiest thing ever...ok i know watu wameshakufundisha so there is no need of me kukuelezea tena....
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  mbona mimi hujawahi kunikorofishia hizo scrambled eggs?
   
 16. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hhahahaha cupcake...na navyotengeneza kila siku asubuhi na unasema unapenda ni nini?..unadhani mac and cheese nini?...
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jan 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  oh yeah...that can't be mac n cheese....okay....sasa nshajua ni nini maana kila siku nikikuuliza na wewe unaniuliza 'kwani hujui'...lol

  haya cupcake...baadae kidogo basi....oh btw, leo lunch unataka kwenda wapi, PF Chang's, Mickey D's au Burger King...?
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  I thought tulikubaliana leo lunch Twist au?...umebadilisha kibao unanipeleka kwenye junk foods while you know i need to loose those 2 pounds i have gained over the weekend?...
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Cupcake..yaani umeshasahau tuko kwenye recession? Twist tutaenda Ijumaa....payday....
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Friday?...i thought friday we flying to Aspen colorado for ice skating?!...au hujafanya ile reservation?....olooo cupcake don't make me loose my mind now.
   
Loading...