Recent content by fab280391

  1. fab280391

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Naomba kujua kama ulifanikiwa kutatua tatizo hilo maana nina ng'ombe wangu na amepatwa na tatizo hilo la kutotoa maziwa baada ya kupewa dexamethasone.
  2. fab280391

    Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... 💑

    Nikusingizie ili nipate nini kaka. kwann hutaki kujikubali na hali yako? jikubali kwanza then taratibu ukila vizuri, mazoezi ya kutosha na kumuomba mungu.. unaweza pata hizo nguvu za kiume na kuweza ksimamisha huo uume na huyo demu atakurudia tu.
  3. fab280391

    Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... 💑

    ID UMEBADILI LAKINI NNIMEKUJUA. Kwani lile tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umepona? Maana ulikuja kuomba msaada wa dawa hapa jamii F... Ulisema huwezi fanya mapenzi kwavile huwezi simamisha umme. pole sana. naona demu wako kashindwa kukuvumilia kaamua kukuacha hawezi kuwa na mwanaume...
  4. fab280391

    Maduka ya simu Makumbusho stand (ni simu fake au original)?

    Zile simu ni fake au orignal? Maana unakuta ni bei rahisi kidogo. kuna mdau aliyewahi nunua kwenye yale maduka athibitishe?
  5. fab280391

    Hebu nisaidieni. Hii Samsung J7 pro ni Original???

    Ni kweli Makumbusho ni wanauza simu fake. wanajitangaza sna instagram
  6. fab280391

    Kuibiwa kwenye Daladala

    Nilishuhudia tukio kama hili.. inawezakana ulikuwa ni wewe labda. ilikuwa mtaa wa congo kariakoo. kijana aliye valia jeans mapana alikuwa anakuja kwambele yangu ghafla kuna jamaa akampiga kikumbo na kumpita kidogo nakuanza kulalamika jamaa nae akageuza shingo nyuma kujibu mapigo ya maneno. hilo...
  7. fab280391

    Jinsi ya kupata UK Visa

    Ndicho kilicho mkuta Emmanuel Eboue mchezaji wa zamani wa Arsenal Galatasary. Amefilisiwa naa mkewe wa wakizungu baada ya kudai talaka mahakamani
  8. fab280391

    Ofisi za Smart zipo wapi Dar es Salaam?

    Mikocheni.. kule serengeti
  9. fab280391

    Nafasi ya kazi- QS na Traffic Officer/engineer

    I am interested tatizo experience yangu ni kwenye buildings + mechanical projects tu.
  10. fab280391

    Nijuzeni kima cha chini cha mishahara ya EWURA

    OK, Asante kwa taarifa.
  11. fab280391

    Nijuzeni kima cha chini cha mishahara ya EWURA

    nataka kujua Dereva anaye anza analipwa kiasi gani?
Back
Top Bottom