BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Oct 27, 2017 #1 Wadau habari, kuna mradi wa barabara hapa Dar, na anahitajika Quantity surveyor na Traffic engineer/ officer QS- lazima awe na uzoefu wa road construction projects Details zaidi naomba interested candidates tuwasiliane
Wadau habari, kuna mradi wa barabara hapa Dar, na anahitajika Quantity surveyor na Traffic engineer/ officer QS- lazima awe na uzoefu wa road construction projects Details zaidi naomba interested candidates tuwasiliane
fab280391 Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 122 Reaction score 31 Oct 27, 2017 #2 I am interested tatizo experience yangu ni kwenye buildings + mechanical projects tu.