Hebu nisaidieni. Hii Samsung J7 pro ni Original???

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Wakuu kwa Specifications hizo kweli hii ni J7 pro??
FB_IMG_15256431468649942.jpg
FB_IMG_15256431378404257.jpg
FB_IMG_15256431251631881.jpg
FB_IMG_15256431157777415.jpg
FB_IMG_15256431083858951.jpg
FB_IMG_15256430998966065.jpg
 
Umeinunua wapi kwanza mpaka uwe na mashaka nayo
 
Hiyo ni J7 Prime feki. Maana origino ni 16GB.
Nenda Mlimani City duka la Samsung kanuue original Samsung products. Achana na makanjanja wa Kariakoo na Makumbusho utaishia kulia bila kupigwa
 
Nina wasiwasi kama kuna simu feki inayotumia exynos processor. Inaweza kuwa original kwa.kuwa Samsung hawauzi processor yao (exynos).
 
Ni OG hiyo processor OG wanaotengeneza simu fake hawawezi kutumia ondoa shaka kitu OG
 
hio ni j7 prime sio pro. ni original ndio sema haina amoled, tegemea kupata kioo chenye quality kama ya maji ya mchele
 
Mbn simple tu kujua km Samsung original,pigs *#0*# ok,kisha bonyeza sehemu imeandikwa Sensor,ukishabonyeza iyo sehemu nyoosha kiganja chako cha mkono kwenye simu ukiona simu inatoa mwanga wa kijani ujue simu ni original,ila ukiona hakuna mwanga wowote unaotoke ujue fek.hope itakusaidia
 
Vip kuhusu tecno[emoji23]
 
Acha upuuuzi
 
Hiyo ni J7 Prime feki. Maana origino ni 16GB.
Nenda Mlimani City duka la Samsung kanuue original Samsung products. Achana na makanjanja wa Kariakoo na Makumbusho utaishia kulia bila kupigwa
Ni kweli Makumbusho ni wanauza simu fake. wanajitangaza sna instagram
 
Back
Top Bottom