Recent content by ex1950

  1. E

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    ILE HELA ITUME KWENYE NAMBA 0743-842-796 SM YANGU INASUMBUA SANA HII NI YA WAKALA HAPA FANYA HALAKA (HARAKA) . Mimi nimepokea message hii mara nne .
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maana kweli ya kulipia kodi ya majengo kwa nyumba ya kuishi?

    Naomba watakapokujibu waunganishie na mimi majibu ya suala linalonitatiza . HIVI INAKUAJE UNAKATA LESENI YA BIASHARA KISHA UNAANZA BIASHARA NA MWAKA UNAOFUATA UNAKATA TENA LESENI YA BIASHARA ILE ILE NA MALIPO TENA ? Je , nayo hii inaitwa kodi ?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari tumepewa kuna wizi mpya umeingia mjini

    Wizi huu sio mpya . Ushafanyika sana kwenye pub hapa mjini . Ni kweli pale Mlimani city matapel wanajazana sana bar hasa samakisamaki . Naomba management ya pale wawe macho . Niliwahi kutoka pale nikafuatwa na mmojawapo katika kundi lililokaa bar hiyo akataka kunizoea nikamtukana sana .
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

    Mimi nilikua mpenzi wa kuangalia bongo movie mpaka DVD zao nilinunua sana . Lakini sasa nimeacha baada ya kuona movie moja bibie kaudhiwa na mpenzi wake akaamua kujiua . Alikwenda moja kwa moja dukani akanunua sumu ya panya , baada ya kutoa fedha na kupewa sumu hiyo , akasubiri chenchi !
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono Serikali hadi tunatukanwa lakini sisi tukiwaeleza kodi iko juu na biashara haipo mtusikie

    Lazima ulipe . Maana Serikali ndio iliyokupa mtaji wa kuanzisha biashara yako . Ikakuongoza , ikakuonyesha frem ya duka lako . Ikakupa dalali wa kukuonyesha mwenye nyumba , ikakulipia gharama za dalali ! Kisha ukaingiza bidhaa Dukani kwa gharama zilezile ulizolipiwa . Labda ulalamikie gharama za...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kama uandishi umefikia hivi basi biashara ya magazeti imekufa

    Hata mimi nashangaa . Nilikuwa mnunuzi mzuri na kusoma magazeti , nina mwaka sasa sijanunua magazeti wala kuyasoma .
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

    Kweli kabisa . Sijaona watu wavivu kusoma kama wa TZ .Ukiwa na gazeti unasoma anakuangalia weee ! Then anakuomba gazeti nae asome . Mara PAAAP ! Kapindua ukurasa wa michezo . Anasoma kichwa cha habari tu na kukugeukia kutaka uchangie maoni yake . Haendelei kusoma . !
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    MBAGALA MAJI MATITU !
  9. E

    JamiiForums Tanzania PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Kweli kabisa . Yale ni mabanda na sii jengo . Mungu atunusuru na hawa wanaojiita wasomi . Ardhi ni thamani inayokua sii sawasawa na kununua kitu kingine . Ilikuwaje waruhusu eneo nyetii kama lile kujenga mabanda badala ya angalau floors 4 ili kukidhi mahitaji kwa manufaa ya chuo na nchi ?
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto kumsikiliza zaidi mama yao kuliko baba ni machungu

    Hii tabia ya wamama kupandikiza chuki watoto wamchukie baba yao kwa sababu ya wao kutofautiana nimeishughudia kwa macho yangu . Ukiangalia utagundua ameamua kuwatumia watoto kwa maslahi yake binafsi . Yaani kama kawauzia kesi wao ili liwe ni suala la familia nzima . Wale watoto wanaoingia kwenye...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina upepo tumboni (gesi) hautaki kuondoka

    ! Kukamilisha swali lako ungemuuliza kama yeye ni mwenyeji wa Mtwara . Lakini nahisi tatizo alilonalo ni mfadhaiko au alerge . Kwa mfano mtu ukijawa na hofu anaweza kutoa mkojo bila kujitambua .
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

    Bado ukaendelea kumshirikisha mumeo , wewe ukaenda mahakamani kuweka zuio na yeye harakaharaka katafuta wakili kutoa ushauri , tena wa kumjenga / kumnusuru . Nakuambia utake usitake mtakuja kuachana tu . Tatizo lenu mna udhaifu wa kupenda pale mnapopenda . Hamsubiri kupendwa . Wewe ulijenga...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Maji yasiyo Kilimanjaro hayana hadhi serikalini?

    Wakenya wakitangaza mlima Kilimanjaro uko kenya tunalalamika . Sisi wenyewe tukitumia brand ya mlima Kilimanjaro ili ijulikane uko Tanzania , tunalaumiana . [emoji1241]
  14. E

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Si bora asome tu kwani ni lazima kuchangia ?
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachana na mke wa ndoa (christian) ni kweli biblia imezuia?

    Nimekuelewa . NI UZINZI TU . Kuna kesi inaendelea mwanamke alikodi watu wa kwenda kumuua mumewe pamoja na mtoto wake mkubwa aliyezaa na mwanamke mwingine kabla ya ndoa yao ya kikristo na mumewe ili aweze kurithi mali . Wale Jamaa walichukua pesa lakini kwa huruma yao wakamtonya jamaa na kumpa...
Back
Top Bottom