Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,429
- 139,486
Tumeona katika vikao na mikutano mbalimbali ya serikali na vyombo vyake wakitumia maji ya chupa aina ya Kilimanjaro katika kukata kiu.
Huwa najiuliza kuna tenda ya milele ya Kilimanjaro kusupply maji serikalini au maji ya aina zingine hayana kiwango?
Kama hayawa kiwango kwa nini sisi watu wa kawaida turuhusiwe kunywa? Huwezi kuona Uhai, Dew drop wala jambo katika kikao cha serikali. Pale Nyerere international conference niliwahi kutaka kuingia na Uhai nikazuiwa
Wanaofahamu watudokeze ila isidanganye kwa kuwa nafahamu zaidi