Natumia hilo la GSM lakini linabonyea ukilala ukiamka unajisikia kabisa hauko poa. Wallah sikutegemea kama lingekuwa na sagging this much maana lilipigiwa debe sana kuwa ni zuri. DISSAPOINTED 🤔
Wakenya ni wajanja sana Tz we should very carefully coz hata kiwanda cha bia walikataa kisijengwe kule kwao....look what they did wameleta nakumat bongo na wafanyakaxi wengi na wakwao..na bado wanaendelea tu kuleta vitu vya kwao mwisho wa siku tutawapigia magoti kuwaomba msaaada...too BAD
Watamwachia tu wamemchukua kumhifadhi kwa ajili ya public interests ili msione hajachukuliwa hatua....hii ni Tanzania bhaaana hapigwi wala hata hafinywi
Mbona kama Mh. amejibu kwa jazba haahahaaaa "upuuzi upuuzi maneno ya mitaani" hata mengine huanzia huku huku mitaani kama watu walivyokua wanakudiscuss kuingia ikulu ni huku huku mtaani ambako leo unakuona kumenuka....
Ee Mungu nakuomba ulinusuru taifa langu na watu wake
Mgote keta kinyama aisee japo naye anajua sana ila Moody Physics naye yuko vzr ila mamanzi wengi ndo wapo kwa MOODY ila kwa MGOTE wagumu tupu
Kuna jamaa anaitwa MWARAMY naye alikua vzr sana kwa namba na slogani yake ya MAN vipi man...
Kwa sasa hali ya soko ikoje #masagati and does the business pay good I need your assistance kwa yeyote mwenye uzoefu I wanna invest into the business.
Thanks in Advance.
Tuache kuchangia kwa jazba bali kwa hoja za msingi na zenye ueledi lengo kila mwana JF apatapo fursa kusoma mchango(mawazo) wako aweze kuelewa jinsi mchakato mzima unavyokwenda.
Binafsi bado sijakuwa na msimamo kati ya 2 au 3 kwasababu kila upande una hoja za msingi mara tu ninapowasikiliza...
#Okinawa .. Zanzibar ni nchi kutokana na katiba yao ya mwaka 2010 which means hawaezi kukubali Serikali moja wala mbili na wanachoshinikiza ni muungano wa mkataba au Serikali tatu ili nayo pia iwe na mamlaka kamili katika masuala ya utawala na umiliki wa rasilimali.
Kuna watu wengine humu ndani sijui hata kama wanafuatilia huu mchakato mzima wa katiba kwasababu kuna mambo ya msingi sana ya kutazamwa katika Serikali mbili na Serikali tatu lakini mtu anaandika Serikali mbili or tatu au kumpinga mwingine bila ya kuwa na hoja ya msingi.
Kabla ya kuja humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.