kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 908
- 1,939
Mkuu, wengi wanaosomeshwa hapo wazazi wao hawana maisha ya kubangaiza!
Na hata wakimaliza sekondari vyuo vyao ni UK, Ulaya n.k.
Kazi zao sio za mishahara ya laki 5! Hivyo usidhani eti wanawekeza ili kazi ije iwalipe! Umasikini mzigo asikwambie mtu!
daaah,bro usiseme hivyo unatuumiza siye wa shule za kata.