Poleni sana waanga wa bodi ya mikopo.
Nimesoma kwa tabu sana maana sikubahatika mkopo. Ila namshukuru Mungu nilimaliza. I hope ntaenjoy after long hassle
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wana JF? Nina ndoto ya kuwa wakala wa banks (commercial banks), naomba mwenye uzoefu zile machine za wakala unanunua au unapewa bure na banks accompanied with conditions au inakuaje?
Msaada tafadhali. Na vipi kuhusu leseni yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la yanga so ndani ya uwanja, tatizo ni nje ya uwanja ambalo ndo linachangia hata ndani ya uwanja kufanya vibaya. Mpira ni psychology. Vijana wetu hawako vizuri kipsychologia.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.