- Thread starter
- #21
Mpira wa Bongo Mimi siangaliagi,huwa nasikilizika tu,huko napataga mzuka..nilitaka mpira wa kuangalia naenda mchangani.Hivi Mkuu timu yenyewe ya sasa inayocheza CECAFA ulishakaa na kuangalia inafanya nini ikiwa Uwanjani?

Bora aisee mana hiyo timu ni kichefu chefu.Mpira wa Bongo Mimi siangaliagi,huwa nasikilizika tu,huko napataga mzuka..nilitaka mpira wa kuangalia naenda mchangani.
Timu ya ccm!?...au ipi!?Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!