Recent content by evelyne

1. evelyne

Job resign

usiache kazi kabla ya kupata kazi ma dear mtaani jua kali
2. evelyne

Tra updates

dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
3. evelyne

Ananisumbua...!!

huyo mkeo anaumia ila hasemi anavumilia ..........swali atavumilia mpaka lini........tafakari na chukua hatua haraka
4. evelyne

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

ebu fikiria ungefanyiwa au yakukute wewe ungefurahi
5. evelyne

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

dah spare tyre ................nimeongeza msemo
6. evelyne

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

U will stil be called "the other woman" :nerd:
7. evelyne

Gubu la mawifi

asikuumize kichwa anakaa kwako afate principals za humo ndani nothing less
8. evelyne

Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

Ngoja uzae watoto wa kike wafanywe kama ulivyomfanyi huyo bidada .......
9. evelyne

Numekula mtu (dada) na mdogo wake

mmh umekorofisha ndugu na wewe ndio sababu utaumwa kichwa mpaka utapoachana na hao wadada
10. evelyne

Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

mmh tuiombee sana nchi yetu
11. evelyne

To hell with Cameron - Mugabe asema kinagaubaga!

Mugabe is a really man .....he stands on whta he believes
12. evelyne

Tamaa mbaya: Afumaniwa ndani ya gari...

Mungu anaipigania ndoa yako usijali
13. evelyne

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwa kweli inapunguza mvuto

Kwa uelewa wangu.....mimi nikiwa mmoja wapo

Aina ya chakula

Kujiachia baada ya uzazi

macontaceptives mengi yanatuvimbisha

Pia Gonjwa hili la duni

ni mawazo tu
14. evelyne

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwa kweli inapunguza mvuto Kwa uelewa wangu.....mimi nikiwa mmoja wapo Aina ya chakula Kujiachia baada ya uzazi macontaceptives mengi yanatuvimbisha Pia Gonjwa hili la duni ni mawazo tu
15. evelyne

Two Keys to a Happy Marriage(kwa wanandoa)

ubarikiwe Tuzid kuombeana sana
Back
Top Bottom