To hell with Cameron - Mugabe asema kinagaubaga!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Mugabe afunguka!
Mugabe calls British PM 'satanic' for backing gay rights

_mugabe.jpg
AFP
Thursday, Nov 24, 2011

HARARE - Zimbabwe's President Robert Mugabe has called British Prime Minister David Cameron "satanic" for considering withholding aid from countries that do not respect gay rights, state media said Thursday.

"It becomes worse and satanic when you get a prime minister like Cameron saying countries that want British aid should accept homosexuality," Mugabe said in a speech Wednesday in the mining town of Shurugwi, 300 kilometres (185 miles) south of Harare.

"To come with that diabolic suggestion to our people is a stupid offer," he said, according to the state-run Herald newspaper.

At the end of the Commonwealth summit in October, Cameron said that countries receiving British aid should respect human rights, including gay rights.

The issue has re-emerged as Zimbabwe drafts a new constitution, with debate on whether to follow neighbouring South Africa's model and include gay rights in the charter.

Mugabe has for decades ranted against homosexuality, and in his latest speech again threatened to punish gay Zimbabweans.

"Do not get tempted into that (homosexuality). You are young people. If you go that direction, we will punish you severely," Mugabe said

"It is condemned by nature. It is condemned by insects and that is why I have said they are worse than pigs and dogs," he said, according to The Herald.

Prime Minister Morgan Tsvangirai, who formed a unity government with Mugabe in 2009, has said that he supports gay rights but that gays should "do their things in private".

Asiaone.com
 
Mzee huyu ana lugha kali! Anajua kuwatukana kweli viongozi wa nchi za magharibi. Ila kasema ukweli mtupu: kwamba ni wachafu kuliko mbwa na nguruwe kwa tabia zao.
 
Usife upesi mzee Jongwe.......... Umebakia peke yako ambaye unakemea uchafu bila kuuma maneno....... na tungekuwa na viongozi kama 25 kwenye bara letu la Afrika kama Jongwe..... tungekuwa mbali sana.........
 
Viongozi wote wa Afrika wangekuwa wanatumia lugha namna hii kwa viongozi wa Ulaya waafrika tungeheshimika!
 
Wewe unataka wanyimwe ma tailored suit wenzio..................???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Ni kweli kabisa........ Afrika ya miaka ya sitini na sabini iliheshimika kuliko hii ya sasa....... maana ilikuwa na viongozi wa ukweli...... na ingetokea kuwa viongozi tulionao sasa ........ wangekuwa na jukumu la kupigania uhuru kama ilivyokuwa kwa akina akina Samora, Kaunda, Mugabe, Nyerere, Kwame, Seko Toure, na wengine wengi...... basi uhuru wa kisiasa ungekuwa ndoto..... wasingeweza kugombea uhuru.....
 
Wewe unataka wanyimwe ma tailored suit wenzio..................???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Nani kama mugabe tanzania?.....aliepo sasa... he he heeee!

ila rekebisha kauli yako hii hapo chini, labda kama unaongelea cret ya soda. bia ni 25 na nyingine ni 20 kwenye cret!
24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!
 
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amemwita Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, "Shetani", kwa kutishia kuzinyima misaada, nchi ambazo hazitambui haki za mashoga; vilisema vyombo vya habari vya serikali, Alhamisi, tarehe 24 mwezi huu.

"Ni mbaya zaidi na ushetani, unapokuwa na Waziri Mkuu kama Cameron, anayesema nchi inayotaka misaada ya Uingereza, lazima ikubali ushoga," alisema Mugabe, katika hotuba yake, aliyoitoa Jumatano, tarehe 23 mwezi huu; iliyonukuliwa na gazeti la serikali, la Herald.

"Mtu anapoleta wazo la kishetani la namna hiyo, kwa watu wetu, hiyo ni ofa ya kipumbavu," alisema. Mugabe alikuwa anazungumza katika mji wa machimbo ya madini, wa Shurugwi, kilomita 300, kusini mwa Harare.

Mugabe amelaani hatua yoyote ya kutaka ziwepo haki za mashoga katika Katiba, na kusema kwamba, huo ni wendawazimu.

"Ninyi vijana, kamwe msishawishike kuwa mashoga na wasagaji. Mkifanya hivyo, tutawaadhibu vikali. Ni matendo yaliyolaaniwa, yaliyo kinyume na asili. Yamelaaniwa hata na wadudu, ndiyo maana nimesema, mashoga na wasagaji; wanazidiwa busara na nguruwe na mbwa," alisema.

CHANZO : AFP
 
huyo mzee naye nishachoka hata kumsikia.
 
Mugabe ni mwanaume wa shoka! Pamoja na udhaifu wake katika maeneo mengine, hata hivyo, ujasiri wake alio nao katika kukabiliana na "madudu" ya Wazungu, haufananishwi! Ni Viongozi wachache sana wa Afrika, wenye "guts" za kumwambia Cameron hivyo, ndiyo maana Wazungu wanatuendesha kama gari bovu! Katika hili, Mugabe, I give you a pat on your back!

Hii ni changamoto kubwa kwa Rais Kikwete, ambaye mpaka sasa ameshindwa kutoa "comment", kwa kisingizio kwamba Membe na Lukuvi wamekwishasema. Huo ni woga! I wish Nyerere was around!
 
Back
Top Bottom