Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

Anaitwa Mizengo Peter Pinda, nazani jina lake ni Peter, huyu ndiye aliyemkana Yesu hata kabla ya jogoo kuwika mara ya tatu. Kwa hiyo sio ajabu kuwa mnafiki.
 
Kwani hata wakila utawafanya nini? Hili linchi tajiri kweli wanakula kwa pua na mdomo lakini bado lipo
 
Mwanahalisi katoa screen shot ya karatasi waliyo saini hizo pesa harafu jina la January Makamba linaonekana limefutwa yaani limekatwa na mstari. Dogo anaonekana aliona mbali sana. Mwanahalisi la leo limenifurahisha sana. labda niwape heading msiokuwa dar
1. Kubenea - Ikulu aibu tupu - ndo ile ya akina pinda sasa
2. Gamba lamponza kikwete
3. Dr Slaa uso kwa uso na JK
4. CCM wamekosea kumshika matiti binti yao
5.Rekodi ya aibu ikulu - hii kali sana nayo
6. Kikwete , Luhanjo, jairo ni zimwi likujualo halikuli likakwisha
Ndugu yangu UMETDHALILISHA tusiokuwa Dar!Kwani hizo heading za mwanahalisi zapatikana Dar tuu!Shindwa!
 
Nimesoma sana mwanahalisi lakini la leo ni tamu sana. Naliweka kwenye library yangu. Kweli kama mapigo ndiyo haya basi nchi tumekabidhi kundi la wanyang'anyi. Unasoma mpaka unatetemeka hivi kweli hawa ni watz ama tumewakodisha/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom