Two Keys to a Happy Marriage(kwa wanandoa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Two Keys to a Happy Marriage(kwa wanandoa)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lolyz, Sep 22, 2011.

 1. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi ndoa zote huanza na furaha tele pamoja na familia na marafiki,kila wanandoa wana ndoro na mipango mizuri kwenye maisha yao siku zijazo. But the road to a happy marriage is far from easy. Maisha ya leo yanaonyesha migogoro ya ndoa ilivyo & many couples opt not to complete the journey!
  Kupata hisia ya hii kiundani tuangalie maandiko yanasemaje:
  Mmojawao mwanasheria akamuuliza, akimjaribu [Yesu] "Mwl, ktk torati ni amri gani iliyo kuu?JYesu akajibu: "mpende bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote.' Hii ndio amri iliyo kuu tena ni ya kwanza. Na ya pili inafanana: Mpende jirani yako kama nafsi yako… (Matthew 22:35-40)
  Naamini matatizo yote ya ndoa yanasababishwa na mmoja au na wote wawili kushindwa kutii amri hizi mbili.. The minute we begin to focus on our own wants and needs over those of God or our partner; we’re destined for trouble.
  Experiencing communication problems in your marriage? How often do you really focus on listening to what your partner (or God) has to say instead of insisting on more airtime? Feeling bitterness and resentment growing toward your partner? When was the last time you brought him or her before the Lord in prayer and truly thanked God for your relationship? Struggling to find quality time together? How about praying with your partner and asking God how he would like you to use your time?
  As you begin to do these things, you’ll notice that your focus automatically starts to shift away from you and your desires and over to God and your partner. As a result, communication problems begin to improve, anger and resentment fade away and you naturally want to spend more time together. Of course, you can’t expect such changes to happen overnight. Your relationship is also bound to face financial pressures, childrearing issues and other problems that are beyond your control. But if you commit your relationship to God and make a conscious decision each day to put God and your partner first, your marriage will be able to weather any storm. Not only that; you’ll also have plenty of fun together along the way!
  Have you struggled to find happiness in your marriage? Perhaps it’s time you and your spouse invited God to direct your relationship. If you would like to do so, we encourage you to pray the following:
  "Dear God, thank you so much for bringing us together as a couple. We know that you have a plan and a purpose for our marriage, and we invite you to forgive the past self-centeredness, come into our lives and relationship and direct our steps from now on. Please give us the grace to put you and each other first every day. Make our relationship a blessing to others. But most of all; make it a blessing to you. Amen."
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160

  Thank you dear, it is a nice thread!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Thank you lolyz imebeba ujumbe mzuri sana, Lets make our relationship a blessing to others
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  poa ila nadhani ya pili ndio inayosumbua zaidi kuliko hata hiiyo ya kwanza..
   
 5. evelyne

  evelyne Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  1. ubarikiwe
  2. Tuzid kuombeana sana
   
 6. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Glory to God Everm, hope it will help out!
   
 7. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Finest ,we can do it and believe me young people like (bebii) will learn from us instead of figting now and then!
   
 8. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa pamoja tutafika tu Eve ! na lazima tufurahie ndoa zetu bana
   
 9. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mungu ameagiza mwanamme ampende mkewe na mwanamke amtii mmewe....Hii ikitimizwa ndoa inasimama imara
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ile inayosema mwanaume ndiye KICHWA cha nyumba ndiyo inayotupa Kibri.................
   
 11. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ujumbe mzuri
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hapo umegusa eneo nyeti sana, mara nyingi, swala la watoto na fedha kama visipoangaliwa kwa makini ndoa inaweza kuyumba na hata kuvunjika kabisa..... kutupiana majukumu ya malezi na mambo mengine yahusuyo vipaumbele linapokuja suala la nini kitangulie na kipi kifuate, hapo ndipo kizungumkuti kinapoanzia..............
  Iko hivi, rafiki yangu alikuwa anatamani sana kununua gari baada ya kuchoshwa na usafiri wa daladala, lakini mkewe akakataa akitaka wajenge kwanza, ni kweli baada ya kubishana sana walijenga. Mume akajua ameshamridhisha mkewe sasa akaelekeza nguvu zake kwenye kununua gari, lakini likaja suala, la mtoto kwenda shule, mke akataka mtoto apelekwe kusoma Internation School, ambapo gharama yake haikuwa haba.............. mume akaona this is too much, yakaanza malumbano..........Mume anadai yeye amesoma St. Kayumba na alimudu vyema masomo, kwani kuna umuhimu gani mtoto kusoma Hizo shule za kimataifa? kama ni kiingereza atasoma tuition, lakini hawezi tena kujiingiza kwenye hizo gharama..
  Ulikuja kuzuka ugomvi mkubwa na kama sio busara za wazazi, labda ile ndoa ingevunjika. maana mke alianza kumtuhumu mume kwamba anataka kununua gari kwa ajili ya Vidosho.......(Wanawake)...............

  Kuna haja ya wanandoa kuwa na mawasiliano na kuweka malengo yao kwa pamoja bila mikwaruzo isiyo na lazima
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Thanks Dear... you have nailed it!!! (ila hilo jicho... hua nakuonea huruma kweli yaani)
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Badala ya kusoma nimejikuta nasali hiyo sala! Asante sana mpendwa!
   
 15. Nailyne

  Nailyne JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda
   
 16. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  [Kuna haja ya wanandoa kuwa na mawasiliano na kuweka malengo yao kwa pamoja bila mikwaruzo isiyo na lazima[/QUOTE]

  Ni kweli kaka Mtambuzi; laiti kila mwanaume angetambua mchango/thamani ya mke leo hii ndoa zisingeporomoka kihivi.Ni kwa neema tu
   
 17. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naamini umepata faraja na amani ndani ya ndoa yako,asante kwa kushiriki nami
   
 18. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  AshaDii
  Dont wory my dear jicho hutoa furaha especialy la mwanamke mara nyingi...furaha na huzuni vyote husababisha jicho la mwanamke kutoa machozi.Ila i admire you a lot..be blessed
   
Loading...